Recent content by Dada Leti

  1. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Hili limtandao limejaa MAPEPO TUPU.
  2. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Hawa ni wajinga wamekuwa programmed kupinga mambo ya aina hii.
  3. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Acha ujuaji. Kanuni ya msingi ni kuacha ubishi wa kijinga kwenye jambo usilolifahamu. Busara ni kufyata domo na kusikiliza maoni mengine kisha uchekeche.
  4. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Mkuu lile tatizo lako la kufuatwa na nzi liliishaga?
  5. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Mbona umeshajijibu sasa? We huoni kilichobadilika?
  6. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    mambo mengine ni ya kiroho zaidi. Fuatilia
  7. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Ukichanjwa siyo kwamba hutougua, bado utaugua na kifo hakikwepeki

    Ama kweli wewe ni KHADIJA. Wafuasi wa MUDI ni bure kabisa!
  8. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

    Hizo dagaa zimelowekwa na kupakuliwa kwenye sahani.
  9. Dada Leti

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

    Mama anaupiga mwingi. Tulieni hapo hapo. Leo yuko Rwanda anakula BATA na Kagame.
Back
Top Bottom