Recent content by dacriss

  1. dacriss

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo kwa waliomaliza diploma kukosa nafasi ya kuingia vyuo katika awamu ya kwanza?

    o level na pass zote sasa cjui tatizo ni nin
  2. dacriss

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo kwa waliomaliza diploma kukosa nafasi ya kuingia vyuo katika awamu ya kwanza?

    hata mei nimekosa na GPA nzuri tu naambiwa you have been rejected from the system
  3. dacriss

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA KUHUSU TCU

    tumaini university(makumira) na tcu guid book waliweka GPA ya 3.00
  4. dacriss

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA KUHUSU TCU

    nimemaliza diploma ya elimu na nina GPA ya 3.6 lakini nashangaa kwenye account yangu wameniandikia you have been rejected from the system reason sijafikisha minimum entry wakat na GPA 3.6 sasa sijui wanataka minimum entry za kiwango gan.
  5. dacriss

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

    Mpira w miguu unataribu zake kama wamekosea lazima wachukuliwe hatua hakuna cha point kuwa na umuhim au kuto kuwa ila lazima taratibu ziexhimiwe
  6. dacriss

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Diploma chuo cha Kleruu

    N masomo ya science 2 au hata arts
  7. dacriss

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Diploma chuo cha Kleruu

    Msaada eti wanataka principle ambazo n D au E
  8. dacriss

    JamiiForums Tanzania NACTE yatangaza mwisho wa kutuma maombi ya masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma

    Wanataka principle pas ambazo n D au E
  9. dacriss

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jamani, hii kozi ya stahada ya ualimu elimu ya ufundi sekondari ipoje ajira zake ?

    Hizo pas wanazotaka n D au E maana sijaelewa???
  10. dacriss

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Diploma chuo cha Kleruu

    Naomben kujua kuhusu stashahada y sekondari Sifa wamesema n principle pasi 2,je principle pas hiyo wanayotaka n D au E maana c elewe
  11. dacriss

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    gambas nitumie hiyo clips 0769970572 hili na mie niwezekuixkia
  12. dacriss

    JamiiForums Tanzania Tecno L3 inauzwa Tshs 65,000/= tu

    vp 1500 unachukua fasta tufanye biashara
  13. dacriss

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    lowassa juuuu kama nguvu ya uma(people's power....)
  14. dacriss

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    huyo ndo kiongoz tunaemtaka kwenda kwa wananchi kuona matatizo yao
Back
Top Bottom