Msaada wa haraka jamani, hii kozi ya stahada ya ualimu elimu ya ufundi sekondari ipoje ajira zake ?

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
519
336
16bd27d1b6e0007df4fe33765f69494c.jpg

Hii kozi ni science au arts ? Vipi kuhusu ajira zake ? Zinaweza patikana ? Wapi na unaajiriwa kama Nani ?
 
Utakua mwalimu wa vyuo vya ufundi eg veta etc.
Soma hio kozi itakua hotcake 2020 na kuendelea, nilisikia serikali itafungua veta kila wilaya
 
Shule za ufundi zipo tena hata za serikali mfano Moshi Tech,Tanga Tech,Ifunda Tech,Mtwara Tech!naomba maelezo juu ya namna ya ku-apply kwa sababu hizo sifa ninazo zote lakini sijui pakuanzia
 
Shule za ufundi zipo tena hata za serikali mfano Moshi Tech,Tanga Tech,Ifunda Tech,Mtwara Tech!naomba maelezo juu ya namna ya ku-apply kwa sababu hizo sifa ninazo zote lakini sijui pakuanzia
Ingia Nacte lipia 20000 then apply umeipenda mkuu? Hii kozi nzuri mkuu kweli ?
 
Ingia Nacte lipia 20000 then apply umeipenda mkuu? Hii kozi nzuri mkuu kweli ?
Kozi nimeipenda kwa sababu hata mimi O-level nimesoma shule ya ufundi,shule za ufundi zinashika nafasi ya pili kwa ukubwa baada ya special schools za Kibaha,Mzumbe na Ilboru.Hutajuta.

Na utafundisha masomo kama Hisabati,Ufundi na Engineering Science
 
Kozi nimeipenda kwa sababu hata mimi O-level nimesoma shule ya ufundi,shule za ufundi zinashika nafasi ya pili kwa ukubwa baada ya special schools za Kibaha,Mzumbe na Ilboru.Hutajuta
Mkuu kama hii kozi nzuri goja niapply but karo yao ndoo kubwa sana sijui around laki Tisa but nitakomaa tu
 
Jumla na michango inafika laki Tisa mkuu
Naona huu uzi umekuwa kama wa watu wawili tu!!

Je,ada inaruhusiwa kulipwa kwa awamu?na kama ndio jumla ya gharama pamoja na michango ni kiasi gani?
Samahani kwa kukusumbua
Simu yangu haina uwezo wa kupakua documents
 
Utakua mwalimu wa vyuo vya ufundi eg veta etc.
Soma hio kozi itakua hotcake 2020 na kuendelea, nilisikia serikali itafungua veta kila wilaya
Samahani kidogo kwa aliyeelewa hapo palipoandikwa"kiwango cha Credit katika masomo mawili ya ufundi ikiwemo drawing,Hisabati,Engineering Science au Kemia,Je,masomo ya ufundi yanayozungumziwa hapo ni hayo yaliyoorodheshwa hapo au ni yale yanayofundishwa katika shule za ufundi kama vile Surveying na Building construction?
 
Back
Top Bottom