Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Naam!

Nadhani Yanga SC sio klabu ya kwanza kuikatia rufaa klabu pinzani.

Umeeleza vyema sana hapo kwa Real Madrid.
Kuenenda kinyume na Kanuni (Deliberately) si uungwana kabisa kwenye mchezo wa soka.

Acha vyombo husika vitoe hukumu! Chochote kitakacho amuliwa kulingana na Taratibu ndicho kitakachokuwa muafaka.

UMEELEWEKA MKUU
 
Mpira w miguu unataribu zake kama wamekosea lazima wachukuliwe hatua hakuna cha point kuwa na umuhim au kuto kuwa ila lazima taratibu ziexhimiwe
 
Back
Top Bottom