Wadau nilikuwa naomba kujua rates za Duty taxes and other charges wanazotozwa makampuni binafsi yanayoingiza cement kutoka nje pale bandarini..Msaada wenu utasaidia sana.Nitangulize shukrani zangu za dhati kabla ya yote.
Nahitaji programmer mwenye uwezo wa kutengeneza systems na softwares zenye uwezo wa kuintegrate na Electonic devices kama wearable devices plus mobile smart-phones..
If you think you have competitive skills runned with innovation esteem drop your cv on aituneltd@gmail.com attach na projects...
Wakuu kwa wale wanaohitaji mchango wangu wa mawazo tafadhali tutafutane kupitia dabymouser@gmail.com..naona PM ni nyingi ila kutokana na kukosa mda wa kuingia humu ndani mara kwa mara nachelea kuzijibu ndani ya mda.
Hakuna changamoto yoyote hapo mkuu..kama utajitolea akili muda na nishati ya mwili wako,vyote nilivyotaja vinawezekana..hizo stadi ni nyepesi sana Binafsi ninazo mia moja(100) stadi za kutengeneza vitu tofaut ni rahisi na hazina gharama
Nafikiria kuanzisha thread humu ndani itakayokuwa...
Tupo pamoja mkuu usisite kurudi hapa na kutueleza maendeleo yako baada ya miezi angalau mitatu.
Inabidi uwe komandoo wa biashara achana na mtu anaekueleza you can not make millions without millions..trust me even 30000 can turn you into a millionaire...
Changamoto kubwa ni kuwa innovative...
Laki 8 ni nyingi sana kama unajicho pevu la tatu la kuziona fursa,binafsi nishaanzaga na mtaji wa Tsh40000(elfu arubain tu) right now nina ROI ya 7m kama faida every two weeks ni ngumu kuamini but thats it..anyway nisikuchoshe
Tafuta washing machine with dry cleaning system, used atleast...
mkuu ubarikwe sana kwa msaada wako uliutoa..Kiukweli katika projects zangu zote za kibiashara nilizofanya na ninazo endelea kufanya ukiachilia mbali kikwazo cha Mtaji kikwazo kingine ambacho nimekuwa nikipambana nacho ni HOFU YA KUSHINDWA hasa katika utekelezaji..Nimekutana na Wanaokatisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.