Recent content by Daady

  1. D

    Nina mapenzi ya dhati lakini sipati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

    Kwako Super women 2 Pole sana na hongera pia mdada kwa yote, ila kubwa kabisa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo jema maana kumbuka haya maneno "God knows you are tired. God knows the situation you are going through. But you must also know that God WOULD NEVER place you in a situation (in this...
  2. D

    TV4Sale Tv flat screen LG inch 50 used inauzwa

    JF huwa hakuna restrictions hasa katika biashara na kama uko serious!!! Hivi utapokea pm 50 uanze kujibu zote
  3. D

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Faiza fox...... Unavyojadili hilo la idadi ya majengo pia uangalie na idadi ya hao wanafunzi. Kipindi cha mkoloni hadi cha Mkapa hakukuwa na watu/wanafunzi wengi kama kipindi hiki. Sasa lazima ujiulize kama idadi hii ya hizo shule ingejengwa kipindi cha nyuma....wangetumia wanafunzi gani?? au...
  4. D

    Toyota RAV4 inauzwa - 16 mil (haina tatizo)

    mi nina rav4 kilitime ya dec 2001, vvti iko poa....15mil
  5. D

    Sua kwa hali hii hatufiki

    aisee nimemkumbuka huyo Dr Ndyetabula.......bado anakamata sana hapo SUA?
  6. D

    Hii inakukumbusha nini?

    naona wengi wanaochangia hapa ni wale waliozaliwa miaka ya vita ya kagera! maana nakumbuka kwa enzi zetu, hii hela nilikuwa napata sukari kilo moja!
  7. D

    Mahojiano,mh.mwigulu nchemba awajibu chadema(pres ya leo-nassari)awashangaa cdm kwa uongo,sisitiza

    mbona maswali yenyewe ni kama "leading questions?"...... na mbona ni waandishi mabinti tu ndio waliombembeleza kumuita??? just curious....!!!
  8. D

    Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    huku sasa ndio sehemu muafaka kwa poliai na wanajeshi wetu kwenda kutekeleza sera ile ya pinda aliyosema bungeni......nami ntawaunga mkono 100%. jipangeni sasa
  9. D

    Chunguza picha unipe jibu

    uko sawa
  10. D

    Nimepata msiba.

    pole ndugu kwa msiba, muheza maeneo gani?
  11. D

    Natafuta Moderm inayotumia Line zote!

    Mimi ninayo ambayo inatumia line zote, in addition ni wireless router unaweza kutumia laptop hata tano! Ninaiuza laki mbili, kama unahitaji ni-PM
  12. D

    Mbunge Azan Zungu aboronga Bungeni

    Ungetakiwa uandike "WANAFIKI waseme ndio, ndiooooo"
  13. D

    Msaada- Nahitaji Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na vijiji vya kila wilaya

    Samahani wandugu, Nina shida na Ramani ya Tanzania inayoonesha wilaya zote na kama ikiwezekana vijiji pia. Asanteni, Daady
  14. D

    Exclusive: Majibizano kati ya Job Ndugai na Eliasanti Bugenyi yaibua mapya!

    Kwa jinsi alivyojibu hayo majibizano....hata akivua hayo mavazi ana tofauti kubwa sana na watu "wenye akili", yaani anabaki kuwa kama mtu aliyeondolewa ile portion ya ubongo inayo-control kufikiri na mambo ya busara na hekima.
  15. D

    Mkuu wa mkoa wa Arusha kwa hili tafuta njia ya kukimbia mji

    Amuulize Bwana mdogo Masha yuko wapi sasahivi.....TIME WILL TELL
Back
Top Bottom