Recent content by D-enzo

  1. D-enzo

    Chanzo cha kutofautiana kiakili kwa binadamu ni nini?

    Tatizo lako ni lipi?Kusoma au kuelewa? Fatilia wanafunz wanaofaulu vzur shule za kata. Most of them ni masikin wakubwa wamekulia mazngra magum ambay hamna mda wala recources za kusoma, hawapo exposed to modern world ,internet na technology. Niambie mazingira yamehusikaje kuwafanya wawe na akili
  2. D-enzo

    Familia ya Ed Warren na Makumbusho ya kutisha

    kuna movie inaitwa anabelle.... Ndo story yake hii! kumbe ni kweli
  3. D-enzo

    Chanzo cha kutofautiana kiakili kwa binadamu ni nini?

    Sio kweli. Tabia ndo znakua affected na mazingira moja kwa moja japokua pia kuna debate kuna genetics inahusika. Ila akili kama zilivo traits nyingne kama skin colour,height n.K znakua inherited then mazngra yana sehem yake kwny development
  4. D-enzo

    Chanzo cha kutofautiana kiakili kwa binadamu ni nini?

    1. Gene inheritence 2. Environment 3. Nutrition
  5. D-enzo

    Kuna familia zina laana ya asili

    Thanks bro. Sometimes had naogopa kukaa na mtu nimwelezee maana ataona kama ni fabricated wakati ni ukweli.
  6. D-enzo

    Kuna familia zina laana ya asili

    Plus nmepoteza vyeti vya form four Plus nimepoteza chet cha form 4,leavng crtfcte ya form 4 na birth certficate 2019. Saivi nina chet cha form six pekeake.
  7. D-enzo

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali vya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)

    udom hamna diploma ya medicine mkuu. Ila zpo nyingine zote
  8. D-enzo

    Kuna familia zina laana ya asili

    scenario ipo exactly kama ulivo uzi wako. Wote kuanzia wazazi had sisi watoto hamna anaefanikiwa. Mm nmeishia chuo medicine 4th year<2018/2019>(disco-abscond) kwa sababu ambazo had sasa sizielewi dogo anaenfata ameishia form six january 2018 sengerema pcb(alifukuzwa shule) na dogo wa mwisho...
  9. D-enzo

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali vya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali kada ya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)
  10. D-enzo

    Kwa wanaohoji kwanini Kilimanjaro siyo jiji

    Hvi moshi na tanga mjin ni wap panastahli kuwa jiji?
  11. D-enzo

    Kuna familia zina laana ya asili

    I've been there bro, it doesn't work for me
  12. D-enzo

    Kuna familia zina laana ya asili

    naweza pata hata briefing ni nin cha kufanya?
  13. D-enzo

    Kuna familia zina laana ya asili

    Hyo laana inavunjwaje mkuu? Mm ni mmoja wa wahanga wakubwa
Back
Top Bottom