Kilimanjaro ni Mkoa ulioko Kaskazini mwa Tanzania ulio zungukwa na Mikoa ya Arusha, Manyara na Tanga pamoja na nchi jirani ya Kenya. Mkoa wa Kilimanjaro uko na Wilaya Sita yani Hai, Siha, Moshi, Rombo, Mwanga na Same. Mwanzoni palikua na Wilaya Nne yani Hai (ikazaa Siha) Same (ikazaa Mwanga) Moshi na Rombo.
Mkoa wa Kilimanjaro uko mji mmoja mkubwa Moshi mjini (Moshi) na miji midogo na yani Hai mjini "maarufu kama Boma" (Hai) ,Sanya mjini(Siha), , Himo mjini(Moshi), Mkuu mjini(Rombo) Holili (Rombo), Mwanga mjini(Mwanga) na Same mjini (Same) Hiyo ni Miji ambapo ukifika wanazo Banks zao, Hosipital zao, Vituo vyao vya polise, Masoko yao, N.k .
Wapo wanaohoji kwanini Kilimanjaro haijakuwa Jiji? Nami nauliza, kutoa Dar-es-Salaam ni mkoa gani ambao ni Jiji? Tumeona pekee kwa mkoa wa Dar pale unapo ingia wanakuambia karibu Jiji la Dar. Kilimanjaro kuwa jiji sio sasa, yani eti unapo ingia pale Same mpakani mwa Tanga uambiwe Karibu Jiji la Kilimanjaro? Au pale KIA mpakani mwa Arusha uambiwe Karibu Jiji la Kilimanjaro? Apana, sana apo ni wahoji Moshi Mjini na sio wilaya nzima au Mkoa wake.
Kutoa Dar tumeona Majiji huzaliwa ndani ya Halmashauri mfano Halmashauri Wilaya ya Meru ndani yake kuna mji ulizaliwa ukapewa jina la mkoa ukaitwa Arusha ukapanda hadhi na sasa ni Jiji la Arusha, sio kwamba eti mtu alioko pale Kikatit yuko jijini Arusha kisa yuko Meru.
Pia kuna miji iliyopewa jina la mkoa ilipozaliwa mfano Iringa mjini, Mbeya jiji n.k kwahiyo siku Iringa ikawa jiji isizaniwe ni mkoa wote, watu huchanganyaaa sanaaa. Au Rahisi tu Umeshawahi sikia wakuu wa Mikoa wa Majiji zaidi ya Dar.
Sana Mikoa ambayo ikipambaniwa yani Mwanza na Kilimanjaro ya weza kuwa Majiji na hii ni kutokana geografia zake, ni mikoa midogo kwahiyo kupeleka maendeleo ni rahisi Mtwara ni mdogo sema wazawa wake hawako na juhudi ila ni mrahisi kuwa jiji tukiongelea kwa udogo.
Tusahihishane kwa hoja apa.