Wakati joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda, matumbo ya waliopendekezwa na mikutano mikuu ya majimbo na kata nayo yanazidi kupata moto.
Ni siku kadhaa zimepita tangu mchakato wa kura za maoni ndani ya vyama utamatishwe kwa majina kupelekwa Kamati tendaji za wilaya (kwa madiwani) na Kamati Kuu...
Hakuna vita ngumukwangu kuahinda kama kuushawishi moyo wangu kukubaliana na safari za majini...#Meli ....boti....eeeeh maa wee bora ndege baba....kifo cha maji sitaki nacho mazoea
Anko inaonekana huelewi kama mimi tuu, mtu anakuambia aliomba chuo kupitia CAS ya TCU na majina yakatolewa na TCU but Chuo kimesajiliwa na NACTE so mi nakushangaa unashindwa kunipa mchanganuo huku unadai mm napiga siasa!
We are a educators or scholars so we have to research detailed and make...
Wasi wasi wangu ni kwamba sisi tuliomba as form six leaver kupitia TCU but wakati tunaendelea na masomo tukagundua chuo hakipo kwenye list ya vyuo vikuu vinavyotambulika nakusajiliwa na TCU.
Tulipojaribu kufuatilia utawala wa chuo na TCU walikuwa na jibu moja kuwa chuo kipo nakimesajiliwa na...
Ndugu zanguni Chonde chonde nisaidieni katika hili...
Naomba kujua kama NACTE wanaweza kusajili chuo kikuu kinachotoa degree, kwani katika kuperuzi website yao nimeona chuo kikuu cha ST. JOSEPH UNIVERSITY CAMPUS ambacho kwa taarifa zauhakika kinatoa degree 3yrs and 5yrs programe ila nimekiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.