Uchaguzi S/Mitaa: Maiti imeguna baada ya mume mtalaka kuhudhuria mazishi!

Ntenene J

Senior Member
Nov 28, 2014
122
0
Katika hali isiyo ya kawaida na nimeona ni tofauti sana na vijiji vingi ambapo CHADEMA wamesimamisha wagombea CCM wamechanganyikiwa ni baada ya mpango wao wa kutumia hoja ya udini kuwekwa wazi na kiongozi mmoja wa dini na kuchangiwa pesa nyingi na wanakijiji hao.(sikupata kujua ni jumla shilingi ngapi maana sherehe ziliendelea Mara baada ya kiongozi huyo kumaliza kwa kumnadi mgombea was CHADEMA).

Ni katika kijiji cha Mwakizega wilaya mpya ya Uvinza Jimbo la Kigoma kusini. Mazishi yamemalizika kwa wanaCCM kugona katika hali ya umati.

Hapa matokeo hayahitaji saa kumi jioni ni saa 4 asubuhi tu!!! Tutawajuza...

Unaweza kusema lolote kama hii imetokea mahali ulipohitimisha kampeni zako ama hiii ni ya kipekee!?

NB: Mgombea hapa ni mjeda mstaafu anakubalika sana pamoja na wajumbe wake!!!
 

Ntenene J

Senior Member
Nov 28, 2014
122
0
nadhani hii ni mistaken identity
una maana gani! pasco. tuko huku mbali na kuna taarifa nyeti kama izi. tunaposema maiti imeguna si kunakshi taarifa no. ni kwamba ccm walisha kuwa katika hali ya wafu miaka mingi na wameshtushwa na mapokezi makubwa yaliyopo kwa wanakijiji hawa. tupokeeni jamvini bila masherti mazito.
 

Ntenene J

Senior Member
Nov 28, 2014
122
0
  • Anaweza lipwa vizuli sana Global Pub. kwa hiki kipaji chake
Mwandishi hahitaji kulipwa kwa sababu ya kipaji choke cha kunakshi vichwa vya habari Vila kwa kusema ukweli. bila shaka utakuwa ni mfuasi wa mafisadi utakaye taka kumtoa mwandishi katika kuyaangazia masuala nyeti na hivyo kubaki mchekeshaji tu.
hamtupati wakati mkijifunza kulenga bila kukosa nasi tutaruka bila kutua.
hujaangazia taarifa unaanza kusema masuala ya malipo duuuuh!
kweli binadamu wakiona pesa busara hutoweka
 

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,490
2,000
Daadeki safari hii wanatoa rushwa hadi serikali za mtaa ila wapigwe tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom