Kwa mujibu wa katiba raisi bado yuko sahihi kutovunja baraza la mawaziri maana hajaambiwa muda maalumu angalia hiyo (f)Ukiwadia wakati wa Rais mteule kushika madaraka ya rais basi mara tu kabla rais mteule hajashika madaraka hayo;
So inaweza kuwa hata siku moja kabla hata raisi mteule...
Ninavyoelewa mimi tanzania one theathre (tot) ni bendi ya ccm na komba alikuwa mwajiriwa pale tot chini ya ccm so far wenye hati miliki ya nyimbo ni wenye bendi ambao ni ccm.
Kama ccm wenyewe ndiyo wanatumia nyimbo haina shida ila kama zinatumika na watu tofauti na kwa matumizi yasiyo ihusu ccm...
Sawa namkubali filikunjombe ila katika hizo sifa zimetajwa hapo zote ni za ufadhiri tu na hii ni notion ya wananchi wengi tanzania huwa wanachagua wafadhiri na siyo wasimamizi wazuri wa serikali.....nilitegemea wangesema amesimamia serikali na mambo yaliyotekelezwa...!
Hapo ndipo muandaaji anaponiacha hoi na kujua kuwa ana ajenda ya siri ukawa utakuwa ni mdahalo au mahojiano...?
Mdahalo kati ya nani na nani...?
So far tunajua hadi sasa ukawa hakuna aliyetangaza nia hadi sasa....zaidi ya lipumba....!
Hii ni opportunity wacha waitumie waandaaaji....!
Kwa hakika wanajua kuwa ili washangiliwe wagombea watahitaji watu so automatically watawalipia kujaza ukumbi.......kwa hiari ukumbi hautaweza kujaa....!
Vinginevyo mdahalo huu kwa stage hii ni ubatili mtupu...!
"nilidhani tanzania kuna kichaa mmoja tu naye ni "......mkjk......."....kumbe wako wengi na wamempigia kura ya ubunge kule arusha.........! J.k nyerere, 1995.
madereva wana point ya ku argue hapo msikae kuleta siasa tu hebu fikiri wewe unayesoma mjadla huu kama umeajiriiwa halafu mwajiri wako hajakuweka kwenye pensionable contract au hata mshahara hakupi but posho ungefurahi?
Ni wakati muafaka wa kubadilika..!
I never support and I will never do it having a poor president.....mwisho wa siku atahitaji ku accumulate ili awe tajiri we better have a well off president atakaye piga hela with limitations kwamba yyee ni tajari..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.