Acha wanawake waitwe wanawake! Kuna star niliwahi msikia anasema ana mtaka mwanaume ambaye akikosea anasimama kama mwanaume, sio yule ambaye ana shindwa mrekebisha anapokosea.
Ko' unaweza ona jamaa mkatili kumbe wife wake ana enjoy na kumuona ni gentleman, usidhani kuwa kimya all the time ndio...
Maisha ni vile unavyojichukulia, ukiruhusu kulia lia hovyo utalizwa kweli mpaka na watoto wadogo. Mahusiano bora lazima yawe ni two ways traffic, sio unapeenda wala unayempenda hashituki naye aoneshe appreciation. Tupa kule atakusumbua mpka ukome, bora pengo kuliko Juno bovu.
Mi nilipo maliza form six niliingia kitaa ile direct from school hapo nilikuwa na elfu 10 nimeuza scientific calculator yangu home mother ana chumba kimoja amepanga. Ila mzee alikuwa ana nyumba mkoa mwingine wameshatengana hivyo niliamua nikomae nimsaidie mother.
Nililipa chumba 5,000 mwezi...
Asante umetumbua macho, ingawa ukweli wako ni mchungu kwetu sisi wazazi. Dah! Ila pia ukumbuke za mwizi arobaini, we endelea kuichezea serikali makali. Siku zako za kuendelea kuishi mtaani ni chache sana, Huna tofauti na jambazi anayetumia silaha adhabu zenu ukijakamatwa. Acha Huo mchezo mchafu...
Ulichokuwa una kitafuta umekipata, unaanzaje kumuuliza Watu wote aliotoka nao? Kuna uhusiano gani kati ya mapenzi yenu na hiyo Historia yake. Basi nenda kamtafute bikra kwenye hodi ya wazazi ndio umuoe, Yani 10 TU! Mbona hapo Bado amekudanganya, hajakutajia na boss wake hapo anapofanyia kazi 😂😂😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.