Budha mytrea
Member
- Dec 14, 2019
- 42
- 50
Na tutawakomesha mpaka mnyokeee udhaifu wenu si ni pupuchuu mtasema yoteee mxeeew zenu
Lakini mm naona kama nyie ndo mnakoma hasa nikikumbuka tunachowafanyia faragha asee
Na tutawakomesha mpaka mnyokeee udhaifu wenu si ni pupuchuu mtasema yoteee mxeeew zenu
Teyar mkuu keshafanya yakeNdugu zangu (me) kamwe usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama ako mzazi!! hata kama ni mzur kiasi gani,haijalishi anakupikia birian au lah!
Unaweza jitoa kwa moyo wako wote,unaweza kushindia mihogo na maji yy akala chips kuku lkn mwishowe akakusaliti na kukufanyia unyama wa ajabu! Hebu jiulize swala dogo tu!
Kama anaweza kutoa mimba au kutelekeza kichanga cha Mwenyezi Mungu jalalani ww n nani haswa akuache!
Hawa viumbe hawaeleweki! Mwanamke unaekutana nae wakati keshaota meno 32 anaweza kukufanyia lolote na kwa wakatiwowote! Usimchekee sababu sio mama ako mzazi!
Wanaume wenzangu mtanielewa ila wavulana siwalazimishi kunielewa.Mwanamke unaemuweka ndani na kumpa siri zako zote ndo adui ako mkubwa kesho!
Hawa viumbe wametumwa kutuangamiza!






inaonekana uliingia miguu yote wenzio tunaingia miguu yote mdomoni moyoni kuko giza totolo hakuna upendoMkuu nakuonya Mwanamke si kiumbe dhaifu hata siku moja, wewe mdharau uone unakufa maskini, hivi Delila na Samson, Bill Clinton na Monica, Father Abraham na ***** Ishmail. usisahau Adam baba lao, alivofanyiwa na Eve, unawajua huwajuia?hata vitabu vya dini vinatuambia kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu, naanzaje kumwamini
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwaje?Nilikuwa namwamini wife 100% lakini nilivyonusurika kuchomolewa betri akishirikiana na ndg zake, sina imani na hao viumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Looh, nimefkiria mbali snhii mada imenifanya nimkumbuke demu wangu wa kilokole aisee alikuwa ana misimo mikali kuhusu kunipa papuchiii hadi pale nitakapouwaaaa ........
sasa siku moja sikuamini nilimshuhudia akiliwa ROMANCE na mchungaji wake wa kanisaaa
I long live my love yamenikuta but nayamudu!Yamekukuta tena?
Tena ndug ndiyo, Bull shit!! kabisa bora mke, mzaramo alisema mchawi nani?........