Recent content by Cynthia19

  1. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Alisema baba yangu anamtaka, lakini sasa yeye ananitaka

    Mtoto soma kwanza mambo ya mapenzi bado wakati wako, miaka 18? Kumbe kuna watoto humu?
  2. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

    Mbona hatari hii, ndio kubuana tena. Mleta mada njoo hapa Mwananyamala kuna mwingine ana maisha kama hayo lkn sitaa bongo nzima hakuna asiyemfahm. Kila Siku magari ya kuazima na kujipiga selfie kwenye Nyumba za watu huko Mbezi na Mikocheni.
  3. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Kakataa kuolewa na mimi sababu sijatahiriwa

    Yaani na ukubwa wote huo ujatailiwa mila za kabila gani hilo hapa Tanzania? Uchafu tena kichefuchefu
  4. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Kakataa kuolewa na mimi sababu sijatahiriwa

    Hahahahaaa na wew unalo nini
  5. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Kaa na mtoto vizuri umuulize kuna kitu kiko nyuma ya pazia hapo.
  6. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kutajirika kuliko kupata mke mwema

    Sio wanawake wote wako hivyo mi nimeanza na wangu sifuri tena hata kitanda hamna, tunanunua dagaa kilo 2 na maharage kilo 5, tukitoa maharage tunatenga dagaa, majirani wetu walikuwa wanatucheka. Wakati tunaishi bila hata wazazi kujua, alipopata kazi nzuri nami nikapata kazi safi tukaenda...
  7. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, huwezi kuvaa hivi kisha uniambie una heshima

    Hahahaaa si avue yote atembee uchi tu
  8. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia Mkuu wa Mkoa aliyetenguliwa Felix Ntibenda kwamba anatafutwa yeye

    Lema usijali tuko nyuma yako, hatutarudi nyuma kamwe. Mapambano yanaendelea lazima udikteta uchwara ushindwe.
  9. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania DAR: Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuwachukulia hatua kundi la kisanii la Orijino Komedi

    Daganya toto hiyo, makada hao hawawezi kuchukuliwa hatua zozote.
  10. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Huyu kijana anaongea pumba sana, sijawah ona anaongea vitu vya maana zaidi ya ujinga mtupu. Sijui hao wananchi walimchagua kwa vigezo vipi.
  11. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Watanzania mna matatizo gani?

    Haya maswali hata mi najiuliza sana majibu, watanzania wengi hawaaminiki kabisa. Niliwah kufungua stationary pale Mabibo hostel, yule mfanyakazi aliniibia pesa nyingi sana akatoroka. Maan nilikuwa namwamini na mm nabanwa na shughuli nyingi namwachia mauzo hata ya mwezi mzima, siendi kuchukua...
  12. Cynthia19

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Pole mamy, maana hata wengine sie tunayapitia kama yako. Wanaume wa sasa ni shida tu wakishapata wanachokitafuta, akishawavulia chupi tu kosa.
Back
Top Bottom