Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!!
Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana...
Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo:
1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru.
2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM kufanya walitakalo tena bila kupingwa hivyo kuandamana ni sawa na kazi bure kikubwa ni ku-risk maisha...
Naam kutokana na hali ya usalama kuwa shwari kwa siku nzima ya leo Niweze kumpongeza jeneral MKUNDA kwa kusimamia vema swala zima la amani nchini. Naamini bila uwepo wa jeshi basi polisi wangezidiwa nguvu na waandamanaji maana kwa siku za karibuni wameonekana wa kawaida sana kila mtu anawamudu...
Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.