Unamaana ya J2me? hebu elezea kidogo ujuzi wako katika java, na Software kwa ujumla, pia unataka ku accomplish nini. kisha, nitarespond kutokana na majibu yako. Mim ni Guru wa Java Enterprise
HTML/XHTML and now HTML5 works together with CSS, however they do different stuffs on a webpage, HTML is all about contents & CSS is about presentations i.e how those contents will behaves on display.
A very simple understanding of how the works together follows,
Consider HTML as bricks ,CSS...
thread moja inatosha, sioni haja ya thread mbili zinazo ongelea kitu kimoja, kumbuka title matters kupata michango ya mawazo, nimechangia kwenye thread yako nyingine, kuhusu maada hii
Ungetoa maelezo kwa kina kidogo,kwamba una malengo gani , then wadau wenye uelewa na Electrical Engineering watakusaidia kwa kuangalia malengo yako na eperince yao kwenye industry
The heart of any webpage is HTML,other decorations will come with time , general understanding & requirements.
For self study am recommending www.w3schools.com, there are number of amazing easy to learn & apply tutorials
start with HTML from there. all the best dude
Tried but not how they actually works;
Most web browsers use an encrypted protocol called Secure Sockets Layer (SSL) to access secure webpages. These pages use the prefix HTTPS. The "s" stands for secure.
https encrypts everything you do so that no one can read what you type but the recipient...
Taken out of context,
I did not nullify the importance of certifications, I answered the primary question.my point is not to substitute a computer science degree with a Cisco certificates, he or she can be certified in whichever area of choice while holding that degree. that is my point
Una mawazo mazuri lakina, kumbuka kuna course kama Telecommunication , na Electronics & Communications kama unahitaji kufanya kazi na circuits na hyo minara sasa kibongo bongo Computer Engineering ilipachikwa tu bila kuangalia nini kipo tayari, so inakuwa ngumu sana.
Sasa mtu wa Computer...
I feel like una exaggerate maelezo yaani ki task kidogo kama Task 2 inahitaji application mpya kweli?|may be nikutokana na level yako.
Task 2 yako:
Unacho kihitaji hapa ni uwezekano wa kuandika pdf files , regardless unaandika text, image, 3D au Blue Rays
utahitaji kutumia Library au API kama...
Siku ukijua Cisco ni vendor wa parts za networking, Networking amabayo ni miongoni mwa course zinavyo fundishwa kwenye Computer science, na kukupa general understanding ya OSI, TCP,connection & connectionless n.k,
Utatoa mchango mzuri katika mada kama hizi.
Fanya Computer Science dogo, Computer engineering unapoteza mwaka mzima wa bure na hauwezi kumfikia mtu wa computer science hata kidogo , he will alwayz be ahead(Kama kuna computer engineering anabisha nikutanishe naye humu JF). how to make computer science work for you bongo & arround the globe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.