Recent content by Cybergates

  1. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Yoooh ni kweli
  2. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Dho
  3. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Tanzanian digital market

    kwenye mfumo wa DAGHT AI umetumia kwenye kufanya kitu gani??, chat bot, dynamic pricing au image classification>??? naomba kujua AI imetumikaje kwenye mfumo wenu pia hapa kwa tanzania sijui bank inayotoa API ya huduma ya escrow, mli-code wenyewe payment gateway iyo support hii huduma...
  4. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Kampuni yangu

    Hii kampuni ina jihusisha na mambo ya IT lkn imesahau kuajiri software & graphics designers
  5. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Github sasa kila kukicha inakuja na changamoto mpya

    Changamoto ya saivi ni software nyingi zinaitaji memory kubwa. mfano vscode yevyewe bila extension nzito inaitaji kama ram GB1 ivi, postman/chrome naya ni kama 4 gb ivi Ukitaka ku program simple API kwa ruby au python kwenye laptop ya ram 4gb inakua inakutesa Kama budget ni 500k jitahidi...
  6. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Github sasa kila kukicha inakuja na changamoto mpya

    Hapa kweli kazi ipo, GitHub kila mara ipo down mara feature hii haifanyi kazi au ile Sasa leo mtu umefanya maboresho una push GitHub imegoma
  7. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

    Space mining
  8. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

    Jiandae kwa kodi, ulisha wahi kufile annual return ?
  9. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Hii process ndefu sana Nenda Hapa Click Buy for me Pest link
  10. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Kupata gpa ya 5.0-3.5 havard na cambridge ni rahisi kuliko UDSM

    Harvard au Cambridge hamna GPA ya 5.0 Kama tu umeshidwa ku google ukajua maxmum GPA ya Harvard 4.0 sio 5.0 utaweza kupata A UDSM?
  11. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Youtube upo down Tanzania?

    Polepole
  12. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Youtube upo down Tanzania?

    Nilikua na streaming mara ghafla ikakata
  13. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Huwa nasangaa mtu akitumia DELETE keyword kwenye SQL

    Huwa nahisi ni hamna haja ya kufuta record permanently kwenye database Ni bora item uka i mark deleted kuliko kuifuta kabisa
Back
Top Bottom