Ishu ni kwamba at the 1st day unanza ulizia kazi yake, just kuwa calm kama ukiwa mwandani wake vizuri lazima utajua tu shughuli anazofanya kuingiza kipato chake! Na mara nyingi swali hilo mkiulizwa nyie wanawake huwa mnaona kama mmetukanwa!
Soo jambazi huwa anajitambulisha kirahisi tu kuwa ni jambazi... Tatizo wanawake mmezoea sana kudanganywa ndo mana mnatuuliza hayo maswali automatically unajitengenezea mazingira ya kudanganywa! Pata picha mtu hata ndugu zake wa damu hawajui anafanya kazi gani halafu unahisi kirahisi rahisi tu...
Watu wengi sana wamekuwa wakidhani kwamba ukiwa na wivu katika mahusiano basi ni ishara ama ni alama mojawapo ya pekee kumuonesha umpendae kuwa una mapenzi ya dhati sana kwake. Sawa ni kweli yaweza kuwa unamaana hiyo, lakini kwa kwa upande mwingine unaweza ukawa unatengeneza picha yenye maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.