Recent content by Cutemam

  1. Cutemam

    Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

    Bravo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Cutemam

    Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

    Sasa mnaelekea kutapeliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Cutemam

    Nahitaji dawa ya kusafisha na kung'arisha meno

    Ukitokea magomen ni baada ya gorofa la usalama Ile gorofa ndogo nyeupe cjui grey hivi ukiangalia floor ya tatu unakuta pana bango wameandka omega dental clinic kama unatokea ubungo ndio unavuka barabara Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Cutemam

    Nahitaji dawa ya kusafisha na kung'arisha meno

    Hii bei hapana hafki baadhi ya dental clinic Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Cutemam

    Unakereka na nini ukifanyiwa wakati wa kufanya mapenzi

    [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Cutemam

    Kwa waliopo kwenye mahusiano...

    Yani huyo ni mwanaume mshenz sana anawezaj kukujbu hivo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Cutemam

    Kwa waliopo kwenye mahusiano...

    Jaribu kujishusha umuombe msamaha hata km wiki mbili ukaze moyo konde pengne ana hasira tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Cutemam

    Kwa waliopo kwenye mahusiano...

    Subiria kwnza hadi akiwa online tikitick kote ndo utapata jbu maumiv mengne yatakuja akikublue tick[emoji276] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Cutemam

    Kwa waliopo kwenye mahusiano...

    Hivi alikuacha baada ya kugundua una mimba au kabla ya mimba alkua hakutak tena kama ni baada ya mimba bac lea mimba yako na mtoto wako hata kwa shida usimuulze mm namuombea asizae mtoto tena maisha yke yote ackie maumiv ya kudharau damu yake mana watu wengi wenye akili wanachkua maamuz ya...
  10. Cutemam

    Kwa waliopo kwenye mahusiano...

    Huezi kuona last seen wala dp wala status zake wala humuoni online wala ukimtext haipati text unakuta tick moja tu kuhakiki km amekublock save namba yake kwa cm ya mtu ukikuta unayaona hayo ila kwa cm yko huyaoni basi amekublock Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Cutemam

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Hawa wanaopona wanapimwa wapi mashine si zinafanyiwa uchunguz[emoji45] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Cutemam

    Hivi ni vitu gani?

    🧐🧐 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom