Recent content by cuteL

  1. C

    JamiiForums Tanzania Upande upi ni nafuu

    Fungua acc. bank , jaribu kulinganisha aina mbalimbali, mfano, CRDB, NMB, ...nk.uone ipi ina unafuu, Pia fungua acc ambayo ni fixed, au zile acc zenye tufaida japo kidogo, Tembelea matawi ya bank..watakushauri vizur Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Viwango vipya vya mahari kuanza kutumika mwaka wa fedha 2019-2020,zingatia kutoka wizara ya mipango

    Ambao majina hayapo inakuaje,?[emoji23][emoji23][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

    Hivu, kuna ukweli wowote [emoji21] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

    Naogopa ku comment[emoji24][emoji24][emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Amri kuu za Mungu

    Za kwenye bible ni zip?. Soma biblia yako vizur uelewe..na siyo kusoma kama pambo au kupiga makelele ili uonekane umesoma biblia... .. "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" asema Bwana
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shida tunazozipata wadada wa makamo tulio single miaka 35 na kuendelea

    Kwahyo yu mean yu should just marry any one ili usionekane unachagua[emoji5] Maisha ya ndoa siyo yakufanyia majaribio
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wa huyu mzee umenidondokea

    Tamaa bhana...81yrs...acha bhana..chaa Au labda kama na ye nii bibi wa 60,s hukoo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

    Na hao ndo watenda kazi wa "hapa kazi tu"..[emoji58][emoji29] tunaishi kwa neema za Mungu tu kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    I really understand ur pain.nimesoma shuhuda yako yote....ts sad and painful,..inasisimua! lakin natamani na ni ombi langu kwa MWENYEZI MUNGU uweze kuachilia yan KUSAMEHE na kuachana roho ya malipizi na visasi. Ni ngumu lakin ukiamua unaweza. Kwasababu kutosamehe na kuendelea kuwachukia watu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba anata niondoke kwake kisa kuipenda chama changu cha CCM

    Uondoke tu kwa kweli..au akuvunje tu[emoji6][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    JamiiForums Tanzania Najivika rasmi ' Joho ' la Kuwatetea Wahadhiri wa Vyuoni wanaosingiziwa kwa Rushwa ya Ngono kwa Watoto wa Kike

    Ubarikiwe wewe pamoja na kizazi chako chote.. Bora ungekaaa kimya.. you don't know anything
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

    [emoji2][emoji2] Kuna "kuhailisha", hadhala, n.k
  13. C

    JamiiForums Tanzania Cheti cha IELTS kinapatikanaje?

    IELTS means International English Language Testing System. It is a test of English language proficiency. ..kwa Tanzania sijaua unafanyikia wap..but kama ulishawahi kusikia TOEFL ambapo centre ipo chuo cha Mwl Nyerere - Kivukoni Dsm, ndo kitu hicho hicho. Ili kupata chet, unajiregester online...
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi jifunzeni hili

    [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimecheka haswaaa
Back
Top Bottom