naheshim mawazo yako. hata mim nimeliona hilo but inafika mda lazima twende kw stail km hio wanayoitaka ukawa ili lengo tu la kuondoa aduu litimie then baadae kila kitu kitajiset kulingana na matukio nafas hii ni pekee kw upubzan ba wapebda Mabadiliko wakikisa urais hata serikal y umioja iungwe...
mungu ni mmoja tu wew aliemnadi yesu unaongelea mungu kabla yesu ...
jamani hizi akili nyingine za kushikiwa aiseee.
yesu tayar alijua kuna bwaba zaid yake na ndio hapo akawa mtiifu kumtukuza bwana wake ila kw kutoelewa unamwita yeye bwana nioneshe kwenye injili wapi alijiita bwana au ni mungu?
habar sitopenda kuongea saana but napenda kukushauri uwekeze upande wa afya mean matibabu yaaani u cant believ it . tena locate sehemu ya nje kidogo mbayo utahisi sekta hiio inaahitajikaa.
if u r intrest with this text me private i will gve u maujanjaa.....
shida sio utaifa wake mean uzanzibar au utanganyoka but je aliteuliwa kuingia bungeni kutoka kundi lipi? na kutokea upande upi?
kwani hata balozi seif iddi ni mtanganyikaa but aliteuliwa km ni mzanzibar nae akafabya hivyooo.
kama wewe mtz bara unajitetea vipi? mwenzio ndio amejitetea kw kushangaa ... wewe jeeeee???
mañaa usiwe bingwaaa wa kupangua tuu uwezee pia kujilindaaa
wew kaka bora unyamaze maana unaitukanisha ccm na wakuu wake mkapa mku---ndu--- wazi anasota anaomba apewe nchii kabembelezaaa kashindwa mwishoo kstumia nguvuui. unajua ni kwa nini ? kutokana na mfumo huu wa sasa itakuaje serikal ya znz iwe cuf then bara ccm na hizi haziendiiii. hai ccm wanahaha...
hata watanganyika ni vibaraka tuuu wa ccm. pale tulimuona kessy akiongea na kuonyesha jinsi anavyoumwa na tanganyika hatimae etiii ndiiiooo alaaa hem tujiulize yupoo sawaa yeye . jeee kupiga kelele na kuamua or maamuz lipi lenye tijaaaa. so nyinyi wapeni nafasi kwetu kijasho kitawatokaaa hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.