Recent content by cute Queenly

  1. cute Queenly

    Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Huna lolote, yoote uliyaandika ni ndoani tu ya kunasia wajinga na wanaopenda take away
  2. cute Queenly

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Wakaskazi hawezi kufanana nawewe hata muandiko wako tu unakusuta
  3. cute Queenly

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Halafu wakionjeshwa wanasahau kwao wanabaki kulalama wamelogwa
  4. cute Queenly

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Wanajifanya wanaponda huku mioyo yao yote ipo huko huko!
  5. cute Queenly

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Ushauri mzuri umejaa hekima.Tuacheni tupumue angalau Lol!
  6. cute Queenly

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Ndo ujue ujinga na wajinga humu lazima wakubali kusahihishwa iwe kwa kejeli au kiustaarabu
  7. cute Queenly

    Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Lkn ndiyo mikoa ya watu wasomi na wenye upeo wa juu wa maisha, angalia utajiri wao, hakuna njaa wala wajinga na haiwezi kuwa na level sawa na mkoa wako we nenda kaoe/kaolewe na unaofanana nao ....mwisho nikusihi mfundishe nduguyo kuandika, ona alivyokuabisha.
  8. cute Queenly

    Kauli ya zuio la tinted kwenye magari lilikuwa ni la kisheria au mapenzi ya mtu?

    Wakuu naomba kufahamu ile amri iliyotolewa na polisi ilikuwa ni matakwa ya sheria au mapenzi binafsi na utashi wa aliyetoa ile amri? Kama ni kisheria kwann imetenguliwa? Kama ni utashi wa askari je ilikuwa na uhalali wowote?
  9. cute Queenly

    Kwanini wanawake wanene wanapenda sana kufanya mapenzi?

    Tatizo siyo huo unene bali inategemea na homoni za mwanamke husika anaweza kuwa mnene au mwembamba
  10. cute Queenly

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Mleta mada kuna mwanamke bank teller alikuwa anamfukuzia ameona amewahiwa amekuja kuponda ili kumkatisha tamaa muoaji
  11. cute Queenly

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Mm naona hayo yoote ni mawazo yako tu wala hakuna uhalisia
  12. cute Queenly

    Naomba kujua usajiri wa timu za dar kwa mwenye list tafadhali

    Naomba kwa mwenye kujua usajiri wa timu zote tatu za dar , yaani Azam, Simba na Yanga. Natanguliza shukrani za dhati
  13. cute Queenly

    Mrisho Ngasa kumwaga wino punde mwaka 1 Jangwani

    Sidhani kama anaulazima wowote
Back
Top Bottom