Tulia km mwezi hv uculize Tena mambo ya shule nyamaza kmy ,we ukiwajulia Hali ongea mambo mengine kbs ,baada ya amani kurudi mwambie unataka kwenda kwao kutoa posa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] embu muoe dada wa watu mwaka wa Tano huuu kweli unamzungushazungusha tu weeee haupo serious.
Wanangu siku Moja watakuja kuandika this Khs baba Yao,huyu black mamba ana mapungufu mengi sana ila Kwa wanae humwambiii kitu kwakweli anajitoa mpk tone lake la mwisho ,najiona nimefanikiwa sana kuwapa wanangu baba mwenye kuwapenda na kuwalinda at any cost.
Mm hata watano hawajafika , nadhani ni watatu ,bht yangu nilikutana na kijana mwema sana ,akaniweka ndani tangu hapo mwaka wa 7 huuu sijui mwanaume mwingine zaidi yake Kuna wkt ananiudhi natamani kumchet ila nashindwa nahisi cwez kukutana na mwanaume mwingine aiseeeee naogopa mno.
Unawajua bodaboda wewew [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hao ndo wanaokula wamama wa nyumbani so hamna jema ndugu yangu ni kuomba Mungu tu
Nakumbuka nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa hiii reli,nakumbuka maneno ya hayati Magufuli,
Alisema anataka reli hii iwasaidie wafanya biashara wadogo ,akatoa mfano wa mtu anatoa mchicha morogoro anakuja kuuza kariakoooo Kisha anarudi zake Moro,
Sasa Kwa bei hiii kweli mm muuza mchicha...
Kwaiyo huu Uzi ni kwaajili ya watu wa Dar tu,na je nyie watu wa Dar mnajua Kila jengo?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]embu situbanie tupe picha
Kwakweli madaktari wanalipua sana sana sana cjui tatizo ni nn jmn ,natamani km cku waulizwe Huwa yanawakuta yapi ni madaktari Wachache mno hufanya kazi Yao Kwa moyo
Huku kwetu mbagala tunajuana aiseeee mpk ata mtaaaa wa 7 poleni nyie wa mbezi beach wa kishua ndo maaana mambo mzr mnafanya kumbukizi tu ,kutokana na hyo list huku kwetu uswahilini bado sana tunayaishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.