Suala sio server kama hardware suala ni utaalam wa database design pamoja na masuala ya load balancing, database ikiwa tuned kitaalam system inakua fast, hawa wataalam wa serikali wana design system naku dump kwenye server bila utaalam wakufanya application iweze ku manage volume of requests.
Serikali wanavijana wazuri kwenye TEHAMA shida bado hawana wataalam wa server. traffic kidogo tu server zinazidiwa. server za google zinatumika dunia nzima lakini ziko very fast.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.