Recent content by Culturelessman

  1. Culturelessman

    Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    Mbona mimi naambiwa QNET imesajiliwa kama QI GROUP OF COMPANIES tanzania naom a ukweli wanaojua hilo
  2. Culturelessman

    Ushauri kuhusu dalili izi za ugonjwa

    Asante sana kwa ushauri, ninawaza kupima hata typhoid maana nashangaa ukimkuta anacheza mchana utazani hana tatizo
  3. Culturelessman

    Ushauri kuhusu dalili izi za ugonjwa

    Samahani wadau hasa madocta, mtoto wangu ana dalili hii ya ugonjwa ikifika saa nane usiku anapata homa kali mno na ikifika saa kumi na mbili asubuhi homa huisha na anarudi hali ya kawaida tatizo ni muda wa saa nane hadi saa kumi na mbili ni SIKU YA TATU SASA hali hii inajirudia. Nimempeleka...
  4. Culturelessman

    Faida na hasara za kurudiana na mpENZI wa zamani

    Hasara hizo nifeki maana hakuna wasiotofautiana humu duniani
  5. Culturelessman

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kero yangu kubwa sana ni kwa afsa polisi wa tz hasa wale wanaoshirikiana na watu wa mitaana ili wawaibie haki ya msingi wananchi watiifu, wazalendo na wachapakazi. Vitendo vya rushwa vimekithiri kwenye huu muhimiri watu wanaobainika na makosa na wengine wasio na makosa wamekuwa wakitengenezewa...
  6. Culturelessman

    Je, ni jambo jema Mkeo kuwa na rafiki wa kiume na huyo rafiki kutembelea kwako wakati wewe haupo?

    Mada hapa haipindi ila wewe unaonekana kuwa mnafiki umeombwa ushauri toa ushauri ka hutaki kaa chonjo
  7. Culturelessman

    Je, ni jambo jema Mkeo kuwa na rafiki wa kiume na huyo rafiki kutembelea kwako wakati wewe haupo?

    Kinachomsumbua kimawazo rafikiangu walegwa hao walitaarifiana kuwa hayupo na kukaribisha yaliyojili hakufahamu vizuri alipata taarifa Kwa majirani
  8. Culturelessman

    Je, ni jambo jema Mkeo kuwa na rafiki wa kiume na huyo rafiki kutembelea kwako wakati wewe haupo?

    Imemtokea rafiki yangu alienda kikazi sehemu, bila taarifa mkewe alimkaribisha rafikie wa kiume kwake.
  9. Culturelessman

    Swali la utafiti: Wafanyabiashara Ulaya na Marekani huachwa wafanye watakalo?

    kwani JPM anavunja sheria gani kwanza wavunjaji sheria ni wafanyabiashara wanaopangiwa bei na viongozi husika na kukataa.
  10. Culturelessman

    Mpaka leo sijajua kwanini watanzania walimchagua Magufuli!

    Una lako moyoni kama si walewale!
  11. Culturelessman

    Haidar Gulamali akutwa amehifadhi tani 154 za Sukari huko Dodoma

    Acha izo yaani watu waangaike kutafute sukari kwa kupanga mistari kwenye jua, watu tununue sukari sh 4000 watu wameweka tani na matani magarani. Huu ni wizi wa akili ni kama ufisadi mwingine. Kwangu ni kama wauaji. Hiv kwa nini roho za kutu? mugeukie Mungu nyie na biashara zenu na muwe na upendo.
Back
Top Bottom