Je, ni jambo jema Mkeo kuwa na rafiki wa kiume na huyo rafiki kutembelea kwako wakati wewe haupo?

Imemtokea rafiki yangu alienda kikazi sehemu, bila taarifa mkewe alimkaribisha rafikie wa kiume kwake.
Ni sahihi kabisa...ni lazima utambue kuoana kwenu ni kwamba hukubinafsisha hata ule uhuru wake binafsi,akiamua kuchapwa anachapwa tu hata ukiwemo!
 
Binafsi sipendi make wangu aniambie Fulani no rafiki yangu wa kiume, hakuna uhusiano kati ya has I na chanya, huku niliko kuna baba alifumaniwa akifanya mapenzi na binti take wa damu, ushauri wangu mwambie RFK yako asiruhusu jambo kama hilo, kama Marafk wakike wamesha basi asiwe na rafiki
 
Ndio maana wengine hatuamini katika kuoa.
Mtoto wangu mmoja anatosha, acha nizitafute pesa tu.
Ndoa ni nzuri sana tena sana ila kwakua umeamua kuwa na mtazamo hasi hongera ishi kulingana na mtazamo wako japo kuwaambukiza wengine mtazamo huo siyo sahihi
 
Ndoa ni nzuri sana tena sana ila kwakua umeamua kuwa na mtazamo hasi hongera ishi kulingana na mtazamo wako japo kuwaambukiza wengine mtazamo huo siyo sahihi
Kwanini unadhani mtazamo wangu sio sahihi?
Kwanini unadhani ndoa ni nzuri sana?
 
Hamna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke,...mwanamme kuwa na rafiki wa kike ni sawa nakufuga kuku wa mayai kuna siku utatamani kula tu nyama, matokeo utamchinja kuku wako wa mayai na kumla tu,... .labda dada au kaka na kwa mbali shemeji
 
Inategemea ulivyoichukulia...unajua hakuna kitu kinaitwa dharau ila akili huiumba!
Muwe mnaelewa mada. Inakuwaje mwanamke anasubiri wewe mumewe haupo halafu anakaribisha mwanaume ndani. Dini ya Uislam hairuhusu kitu hicho isipokuwa kwa baba mzazi au ndugu wa damu wa kiume.
 
Hata wakati niko single mwanaume hakuwa anaingia kwangu. Akiingia akitoka hata alisema tuli do hakuna ushahidi seuse mke wa mtu
 
Back
Top Bottom