Ikiwa simu ana weka Patten lock. Hakuna njia ingine bila kutumia simu yake? Nikijua wala hakuna kupandisha presha. Nitakachofanya kuomuonya akikataa na kubisha napelaka mambo yake kwa wazazi wake wamuweke sawa.
Sina mpango wakumtenda chochote huyu mwenzangu. Kama unaweza kufikiria sijua labda nitamuadabisha umekosea. Maana akiwa kazama kwenye upotofu na hataki kubadilika baada kuwekwa chini asikilize wazee mpango wa ndoa nausitisha.
Naomba wataalam mlio humu jf mnipe utaalamu. Kumtrack Bila kuwa na simu ya muhusika karibu. Nahitaji kufahamu anaowasiliana nao katika whatsapp na fb, maana nnaetaka kumtrack ni mpenzi wangu na siku za karibuni ameonyesha kutokuwa mwaminifu katika penzi letu. Nimepata nae mtoto mmoja. Nahitajia...
Waislamu wa sasa walio wengi ni waoga sana, hawatoweza kufanya lolote hata wakipewa ruksa wakitumikie kitabu chao chote katika kuweka sharia kwenye mahakama ya kadhi. Hawa niwaoga sana wakitishiwa nyau tu wanaona wametishiwa simba.
Nyumba ya kupangisha inahitajika mjini arusha maeneo yalio karibu na katika jiji bajeti 250,000 mpaka 300,000 kutegemeana na nyumba iwe ya viumba viwili moja iwe ni master na sebule na jiko.
Kimewafurahisha wengi alichosema huyu mdada maana ana manisha UISLAMU ni mgeni australia na Waislamu waliopo australia wote ni wageni. Je ina maana hapa Uislamu ni Dini ngeni na Waislamu wote ni wageni katika nchi hii inayotawaliwa na mfumo kristo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.