Recent content by CT-scan

  1. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua jina la dini hili, Linabadilika rangi kama inavyoonekana ukilimulika!

    Umeulizwa ni aina gani ya madini,wewe unauliza limechimbwa Dar sehemu gani!Au Mkuu ushajua kuwa ni hela hiyo?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kusajili gari yangu UBA

    UBA=United Bank of Africa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ukonga: Mwanamke mmoja atuhumiwa uchawi baada ya kuonekana akiwa katikati ya barabara amekalia ungo

    Kuna picha nyingine nimeziona kwenye group moja hivi yupo uchi kabisa.Labda Mkuu aliyeleta mada humu kaamua kutoziweka kutokana na maadili ya humu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Kunguni wa ulaya halafu hajui kiinglishi kama bwana yule.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa

    Nilichokielewa kwa kifupi kuwa kuna kampuni inaitwa CI Group na kampuni tanzu inaitwa MASOKO wanaendesha shughuli zao kwa njia ya udanganyifu.Kwa mfano wao wanapeleka hesabu TRA kuwa mapato yao kwa mwezi ni milioni 40 wakati ukweli ni kwamba mapato ni bilioni 40.Pili hao wamiliki wanatumia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya khanga!

    Maisha ni safari ndefu
Back
Top Bottom