Kuna wahindi wengine wapo hapa Mbezi -Luguruni na Boko wana vyuo vya kikanjanja...... Sijui kwa nini Serikali haiamui chochote kuhusiana na hawa watu wakati wako na data zote za uhujumu uchumi, kukwepa kodi na manyanyaso na mateso kwa wafanya kazi wake......
TCU, NACTE, RAAWU, HELSB NA WIZARA YA ELIMU sijui kwa nini wamekaa kimya na hawa jamaa wanazidi kuitukana nchi yetu.....
Mawaziri, wakurugenzi na makatibu wa wizara na idara mjue mkiwa mmekaa maofisini mko mnakula kiyoyozi kuna watanzania wenzenu wako kwenye mavumbi na mateso makali sana huku mshahara mpaka jamaa apende kuutoa.
Wahindi ni watu wabaya sana aisee......
-Ni wapuuzi sana hawa jamaa wanatukana nchi wazi wazi kabisa. Magufuli, Majariwa, Samia na wengine ebu fanyeni kitu kwa hawa mjusi kamba wasio na adabu kwa taifa..... Isiishie kwa Yusuf Manji tuu labda kwa sababu yeye anaingilika kwa sababi ni mwanasiasa.
Wanaharibu elimu ya watanzania, wanaharibu wanafunzi, walimu wa KIHINDI hawana chochote kichwani hawana vyeti lakin wanategemewa kuproduce wataalamu wa sayansi. Ndalichako njoo utumbue ili unusuru hili janga.
Elimu yetu inachezewa na wahuni wachache aisee, fanyeni kitendo kuweka heshima ya nchi yetu. Wahindi siyo watu wa kawaida nahisi hata SHETANI hafiki kwa hawa jamaa.
St JOSEPH UNIVERSITY COLLEGE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY IMULIKWE KWA JICHO LA TATU IKIWEZEKANA WAFUATAO WAHUSIKE KUIANGALIA.....
1. TRA
2. PCCB (TAKUKURU)
3. TCU
4. NACTE
5. KAMISHNA WA KUPAMBANA NA KUZUIA MADAWA YA KUKEVYA
6. POLICE
7. WIZARA YA MAMBO YA NDANI
8. WIZARA YA MAMBO YA NJE
9. IMMIGRATION (UHAMIAJI)
10. WIZARA YA ELIMU......
........
.......
.......
NA WENGINE WANAOHUSIKA.
HILI NI JIPU TRUST ME TRA HAPO HAMKOSI BILLION ZAIDI YA 100 MKIFANYA UJAGUZI WA TRANSACTIONS ZAO......
NJOOONI JAMANI MPATE KUFANYA KAZI ILI KUUNGA SERA NA JUHUDI ZA RAIS.....
Sent using
Jamii Forums mobile app