Recent content by CSMM

  1. C

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    yaani ubarikiwe sana kwa hili maana ni wengi wameshapata madhara kuweka mafuta ambayo siyo mimi nilikuwa sijui ukiweka mafuta yanaisha haraka mtu akaniambia kaweke total utaniambia toka nimeanza Total sijawahi juta mafuta yao hayaishi haraka lo lo lo kweli mtanzania kuendelea ni kazi
  2. C

    Tanzia: Mchungaji Hezekiah Mwakisu wa Boko KKKT afariki

    Mungu amempenda zaidi jina lake lihimidiwe Mungu awape familia yake faraja itoshayo
  3. C

    ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

    Greatttt News itatupunguzia vingamuzi lol!!
  4. C

    Pongezi IPP Mtaingia kwenye Kumbukumbu za ukombozi wa Taifa hili

    Hongera ITV maana tuliokosa mchana tuliweza ona kilichojili na baada ya hapo umeme wakauchukua kisa!!!!!!
  5. C

    Waziri Maghembe: "TANESCO, ukiritimba too much"

    Yaani hawafai kabisa umeme kukatika muda wowote, Ukitaka kuongezea units mitambo yote hadi head office out of service the whole day, ukipiga simu kuulizia hawapokei simu haswa Tegeta branch kwa kweli majanga makubwa haya jamani kama vile tanesco yote ifutwe tuanze upya Khaa!!!!
  6. C

    Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo agoma kusafiri kisa hana First Class ticket

    Miaka ya 90 nilikuwa Uk wakati huo Mke wa waziri mkuu Tony Blair alipanda british train asubuhi akielekea kazini kwake yeye ni mwanasheria bahati mbaya hakutaka kuikosa trian akaingia bila kukata ticket ndani ya train akakutana na inspector nakwambia alimkatia fine na ilitoka katika magazeti mke...
  7. C

    Watoto watekwa, walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

    Hii habari imenisikitisha sana sana unajua. Sasa inabidi tuwafundishe watoto wetu kumkabili mtu usiyemjua(strangers) na wazazi/walezi kutokuwaacha watoto wadogo wenyewe barabarani. Nchi za wenzetu huthubutu hata kidogo kumuacha hata centimeter moja maana watu wa aina hii wapo kila kona...
  8. C

    Kwanini maeneo haya yalipewa majina ya hivi?

    Tegeta Nyatini miaka ya 88-90 kulikuwa na nyati wakifugwa chini ya mti mkubwa ndio pakajulikana Tegeta Nyatini
  9. C

    Bomoa bomoa ya Pombe Magufuli yaanza.....jengo la business park ( green acres ) labomolewa

    Watanzania tujifunze kuwa makini idara husika zipo kwanini ufanye kitu ambacho kitakupa hasara baadaye na hapo walioumia ni wale waliolipa kodi zao kufanya biashara sijui kama watarudishiwa
  10. C

    Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

    Kiukweli anahitaji msaada ila mie kwa mawazo yangu naona wa kuombewa zaidi yaani kiroho na mama yake ameshasema anamwamini Mungu 100% atamponya amsaidie kwanza apone kiroho, hapo sasa kupata watumishi waadilifu yaani wanaotoa huduma bure kama walivyopewa bure.Mwana mwenye hekima humfurahisha...
  11. C

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Mungu wetu mwaminifu huwa anajitetea mwenyewe asanteni sana viongozi kwa tamko liloenda shule tunawaombea hekima hiyo mliyonayo iendelee kuwa nanyi
Back
Top Bottom