Recent content by Crystal clear

  1. Crystal clear

    Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Naomba kuuliza je ni wote waliowekeza hela wamepigwa au kuna waliofanikiwa kuwithdraw? Kuna mshikaji wangu aliwekeza anasema yeye jana alifanikiwa kuwithdraw hajapigwa et baadhi ndio wamepigwa. Nimehisi anaficha nisimuone kalizwa
  2. Crystal clear

    Ipi movie yako kali yenye maudhui ya MYSTERY

    Bullet train 2022 Lou 2022
  3. Crystal clear

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujua bei ya unit moja ya umeme
  4. Crystal clear

    Chochote ujuacho kuhusu toyota rush

    Yes tatizo lake kubwa ni hiyo sterling rek otherwise ni gari nzuri na mafuta hainywi
  5. Crystal clear

    Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

    Hahahahahahaha umenichekesha sana
  6. Crystal clear

    Wanawake kwisha habari yao

    Kwa ndoa zipi hizi za kina joyce kiria kila siku wanalia lia tu, wabongo mjifunze kinachomata katika maisha ni furaha tu siyo umeolewa kila siku unalialia ila unavumilia umaintain status huku wenzio wanakula bata
  7. Crystal clear

    Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

    Na kuna wanaume wanawanyanyasa wanawake pia wakati wakiwa na hela, nina rafiki yangu alikua na kazi nzuri anahudumia familia vizuri hadi mama wa mwanaume anahudumiwa siku alipoacha kazi sababu mimba ilikua inamsumbua mno alinyanyaswa na mwanaume mpaka sasa hivi na ndoa imevunjika. So hii kitu...
  8. Crystal clear

    Kwanini wadada mnakuwa wachafu kiasi hiki?

    Wewe ndio uache uchafu ajitie kiherehere kusafisha kesho unambwaga unaleta mwingine
  9. Crystal clear

    Analazimisha watoto wote wasome shule moja wakati si yeye anayetoa huduma

    Lakini baba anataka mtoto aende shule anayosoma mwanae si kwa ajili ya kuondoa tofauti ni kwa sababu mama k kalalamika kwa nini mama k ampange maamuzi ya familia ?
  10. Crystal clear

    Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Kwa house girl unamuonea mtoto wa watu imagine ni mwanao anaharibiwa
  11. Crystal clear

    Mtazamo wangu kuhusu akina mama waliotelekezwa

    Sawa uliyongea inaweza ikawa kweli lakini swali je we Mwanaume unajua huna malengo na huyo binti kwa nini uende kavu wakati unajua kabisa hapa sioi na sina future na huyu mtu, maana kwa tabia hiyo basi utazalisha watoto wengi.Hapo hasara ni kwa jamii kuwa na watoto wengi wa mtaani na vibaka
  12. Crystal clear

    Wanaopata shida kuhusu Wanawake kutokuolewa ni Wanaume, kwa nini?

    Wanaofatilia wanawake hawako bussy na maisha yao kufatilia yasio wahusu utadhani wanawalisha wao badala ya kupambana na hali zao
  13. Crystal clear

    Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Hahahahahahahahahahaha dah nimecheka sana
Back
Top Bottom