Mzumbe ni chuo gani ?Locally ama Internationally?
Kama wanafunzi wa Muccobs-SUA ni cheep labour sasa sijui wanafunzi wa Mzumbe watakuwa kitu gani!
Jariribu kuwa mfuatiliaji kidogo Google upate Rank ya vyuo Duniani na Africa ,Then fananisha na Mzumbe na Sua.Kwa taarifa fupi Huku nchi za watu...
Hawa jamaa wanakera sana mimi nimetoa hela zangu zote kwenye Bank yao.Nipo nje ya Tz na nilikuwa natumia VISACARD yao but ilikuwa kero sana,Walifunga acc yangu for three weeks nikiwapigia simu wanasema kesho kesho!..Mpaka last time niliporudi Bongo nikachomoa mpunga wangu wote.
Mungu amsamehe na wameshaanza kutafunana yeye na bingwa wake wa wajungu Makamba ..Nadhani kama walivyotabiri waungwana kuwa huyu amekuja kuvuruga chama kwa majungu na ataondoka nacho
hivi kufelisha wanafunzi ndio kipimo cha elimu bora?
inashangaza vyuo vya africa ndio vinavyoongoza kwa kufelisha wanafunzi lakini kwenye rank za vyuo bora duniani vipo mbali sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.