Recent content by cruiz

  1. C

    UDOM first year 2016/2017 Tukutane hapa

    Sor wapendwa Naomba msaada mniangalizie mdogo wangu Mwenye S0230/0743/2016 maana mpaka saivi hatujajua alipochaguliwa
  2. C

    MJADALA: Kusoma Engineering Tanzania ni kujipunguzia siku za kuishi

    Procurement pia inalipa angalao, japo upatikanaji wa kazi serikali ni mgumu ila ukipata kazi kuna unafuu wa kupata vijisenti nje ya mshahara Japo cyo kivileee
  3. C

    Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Hii tetesi ipo tokea July hebu mliyopo jikoni tupatieni ukweli wa hili jambo
  4. C

    Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Mimi napita sina cha Kuongeza hapo ila nimechoshwa na hilo limeseji lenu kila siku mishahara inapanda lakini hakuna kinachoongezwa waambieni wanaowatuma kuwa dawa yao 2020
  5. C

    Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

    kila nikimlinganisha kiba na diamond naona kama namkosea sana diamond coz kuanzia akiwa peke yke hadi akiwa ameshilikishawa kufunika KWAKE ni lazima, huyu kiumbe ni hatare sana anafanya hit hadi kwenye matangazo so kiba has a long way to go mpaka saiv sioni kama anafaa kushindanishwa na diamond...
  6. C

    Wadaiwa bodi ya mikopo kitanzini. Kuanza kukatwa 15% kutoka kwenye mshahara

    Naomba kujuzwa huo mshahara umeongezwa kwa kiasi gani
  7. C

    Bodi ya vyuo vikuu(TCU) yaanza kutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu nchini

    Sorry naomba msaada mniangalizie namba 0230/0743/2016 nilipo mtandao unasumbua
  8. C

    Bodi ya mikopo tumechoka kusubiri mikopo yetu mlioipeleka vyuo vingine.

    Sorry wakuu naomba msaada wenu mniangalizie 0230/0743 nilipo network inasumbua
  9. C

    Lowassa aenda Kagera kuwajulia hali waathirika wa tetemeko!

    ENL huwa najikuta nampenda tuu, anyway tuwekee na kapicha kidogo ili kuweka uzito katika habari
  10. C

    Nyerere alitukomoa katika Elimu watu wa Kigoma

    cfa nyngne ya hawa jamaa hawapendi kujitambulisha kabila lao mara nyingi na kwa sababu hawapendanagi wao kwa wao so huepuka kujitambulisha kwa kabila ili kupunguza Mazoea baina Yao yani waha wenzao! Ila wana roho mbaya hawa jamaa Hataree always ni wabishi na wanajifanyaga wajuaji sana na...
  11. C

    Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

    Hapo tuu ndo huwa nashangaa, naona pages zinazidi kujaa na kuongezeka lakini kama ni mtihani wengi wenu kama cyo wte mmeshafeli kwa sababu hao wte wana-run shows tofauti wakati B-DOZEN Na MCHUVU wakiwa kwa Radio den SAM MISAGO Na dula wanafanya tv shows bt Dula anackikaga kwa Radio sometyms so...
  12. C

    Dj Ommy crezy makelele ya nini?

    Mkuu nature ya kipindi na watu wanaohojiwa pale plus cku yenyewe inakuwa ni ijumaa mixer gambe unalolionaga kwenye zile counter zao deni utakubaliana na mm kuwa Ommy crazy ndo the right dj kulingana na sehemu husika! Walikuwepo akina dj mafuvu kwa hicho hicho kipindi bt kwa hiyu jamaa...
  13. C

    Kairuki: Wakuu wa Taasisi za Umma kusaini Ajira za Mikataba, uhakiki watumishi hewa wafikia 70%

    Nimeshuhudia awamu nyingi za uongozi lakini awamu hii ni kiboko yani imejaa matamko kuliko utekelezaji na hii inapelekea watu kutoamini kila kinachohutubiwa iwe na viongozi wandamizi au mawaziri wao, Nadhani kuna shida mahali.
  14. C

    Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Binafsi nimechoshwa na hizi stori za kupanda kwa mishahara zipo tokea July bt cjaona ukweli wwte kuhusu hili jambo so cjaona umuhimu zaidi ya kutujazia screen saver zetu hapa!
  15. C

    Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

    Nikuwa very much interested kusoma hii threat but nilivyoona LIZABONI hata sikupata mood ya kuendelea coz huyu jamaa anajitoaga ufahamu hata kwenye mambo ya msingi yy anawazaga chama cha kijani tuu!
Back
Top Bottom