kitinusa beatrice
Member
- Jan 28, 2016
- 73
- 2
Jaman nauliza second selection tayar za dip to degree
Kwa wazoefu tunafupishaHakuna college of natural science,bali ni natural and mathematical science.Acha uongo wewe,km pm.
Bado mkuu,, zikiwa tayari utapata tu infoJaman nauliza second selection tayar za dip to degree
Mmmmmh huu uongo mweupeKuna watu walidharau shule za secondary za kata lakini sasa hivi watu ndo wanakimbilia
Acha kwani hujaombwa kukubaliMmmmmh huu uongo mweupe

Kama aliyepangiwa SAUT amechagua mwenyewe kwa nini ajute? Kila mtu aende alipo pata apige kitabu watakutana mtaani baada ya kumaliza ndio watambiane kwenye interview na kazi.hongereni mliopangiwa udom hakika hamuwezi kujuta kama atakayepangiwa SAUT na matawi take n.k
Mkuu he sisi wa diploma tunaruhusiwa kuchangia?Unajua bahna kuna watu wanakera kweli kweli ww kama sio muhusika kwann usinyamaze kimya!!! Hayo mambo mnayosema kuwa udom ni chuo cha kata yalishasemwa mpaka watu wamechoka wanaokama ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu maana hutafaidika chochote tupia maneno kuhusiana na uzi unavyosema na sio kuleta mambo ambayo hayajengi...naipenda chuo changu ndo maana nafurahi kuwasaidia ndugu zangu wanaokuja kuanza masomo so kama vyuo vingine hawajaweka sioni sababu ya kuanza kusema cjui tuna kiherehere ,, sasa ww utaanzisha uzi hata watu hawajaona post zao....
Ukisikiliza ya watu utasota kweli kweli..kapige shule mambo mengine huja baadayeNimechaguliwa bachelor of science in biology hapo UDOM tayari people zishaniambia nitasota kwa ajira! nifanyeje?
Kama kweli,thibitisha mkuuNdio first batch
Wanafunz wa chuo cha Kata wanamchecheto.
Mbona hamjiuliz kwanin wengne hawana mbwembwe kama nyiny.
Jaman tumekoma tusameen
hongereni mliopangiwa udom hakika hamuwezi kujuta kama atakayepangiwa SAUT na matawi take n.k