Ukwepaji kodi bado ni mkubwa sana Tanzania...hiyo sio siri. Hatujafika huko kwa wenzetu ila tutafika tu. Ndo maana bado wanatakiwa raia wema watoe taarifa za ukwepaji kodi kwa TRA. Huyu kakobe kama ni mkwepa kodi kajikaanga mwenyewe.
Uchunguzi ili ufanyike lazima zipatikane taarifa. Huwezi kuanza kumchunguza mtu bila sababu za msingi. Kazi nyingine ziitafanyika saa ngapi. Hata polisi wakipokea taaarifa za uhalifu ndo wanaanza kuzichunguza. Kama hana hatia, hana sababu ya kuogopa, akionekana mlipa kodi muadilifu ataachwa...
Mtu yoyote au kampuni yoyote inaweza kufanyiwa special Audit na TRA mda wowote zikipatikana taarifa kwamba huenda halipi kodi kikamilifu. Kwa kujisemea kwamba ana hela kuliko serikali, ni lazima TRA wachunguze maana ni kazi yao, hawawezi kuzikalia tu hizo taarifa.
Maumivu yako ni makali sana lakini hayatoisha hadi utakapoamua kuwasamehe. Chuki na hasira zinamuumiza zaidi yule anaezibeba. FORGIVE and TRY TO FORGET...kwa faida ya watoto wako. Chuki ni sumu kali sana....utapata amani kubwa sana ya kiroho pale utakapoamua kusamehe.
Wachagga wenzangu...ni vizuri kuwa proud na kabila letu lakini tujidai bila kuwaudhi wengine. Kwanza wachagga sisi sio watu wakujisifia sana, uhalisia wa maisha yetu unajieleza. So please please tuenjoy sikukuu yetu nyumbani kimya kimya....Makabila yote jamani yako sawa tu.....MERRY CHRISTMAS
Forex ni speculative trading (kubashiri), Inaweza ikalipa sana au ikasababisha hasara. Kama mtu ni risktaker unaweza kujihusisha nayo....ila cha msingi usitumbukize mtaji wako wote huko. Unless kama wewe ni mtu wa kati, yani unawekeza pesa za watu wengine pamoja na zako kidogo..."yaani unakula...
Nahisi shida yako ni malengo na mtazamo wako wakimaisha mjomba.
1. Ulivo kuwa unasoma ulisoma kwa malengo yapi??...Je ulijitahidi kwa nguvu zako zote kuwa mmoja wa wanafunzi bora darasani kwako?? Ulijenga urafiki na wanafunzi wenzako na waalimu wako??
2. Je..hapo kwenye kazi yako ya sasa...
Nadhani shida ni kwamba hatuna well qualified people. Investors wanawekeza pesa nyingi, wanahitaji watu competent wakuongoza. Bado Tanzania tuna shida ya viongozi ndo maana hata taasisi za serikali haziendeshwi vizuri.
1. Swala la msingi kwenye hii case ni kwamba muuzaji wa magari kampuni ya Serin(Uturuki) hawaja pata hela yao yote kutoka kwa Nas Haulage. Sasa inawezekana Nas walitaka kuwatapeli au kuna mambo yao mengine chini ya kapeti ambayo wanajuana wenyewe kwa wenyewe. Kama ni utapeli basi ipo haja ya...
DUH! TRA kweli ni zigo la miba. Kila janga linalotokea bandarini lazima TRA ihusishwe. Sasa hapa TRA wanahusika vipi wakati kodi stahiki zilishalipwa, na kilichobakia ni gharama za bandari. Usajili wa gari hauhitaji B/L original, hawana kosa kabisa.
Ni sawa alichofanya profesa.....maana mtu akikutuhumu hadharani, akusafishe hadharani pia. Hata Trump mwenyewe anatweet kila siku.....uwazi ni kitu kizuri sana.
A television set, more commonly called a television,TV, TV set, television receiver, or telly, is a device that combines a tuner, display, and loudspeakers for the purpose of viewing television.
Television set - Wikipedia
Television set - Wikipedia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.