Recent content by crucial

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu amenichunia

    Wahi clinic Dada,miez yote hyo hujaenda bado unasubir mumeo akubali.asipokubali itakuaje. Changamka mama n hatari kwako na kwa mtoto pia.acha uzembe.sometimes jiongeze mtoto umebeba wewe na sio yeye.chaaaaa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kubabuka mdomo

    Asante kwa ushauri.barikiwa sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kubabuka mdomo

    hanyonyi papuchi kwa kweli.imetokea tu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kubabuka mdomo

    Habari! kuna ndugu yangu kababuka mdomo. Pia una maumivi. Yaani umekua mwekundu! kama kavuta bangi lakini hajawahi tumia! labda ni lipbam tu hiz za kawaida. Je kuna tiba ya huu ugonjwa kwa wataalam wa ngozi tafadhali
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya majibu ya Ultrasound kutofautiana?

    Habari wadau, sababu ya kupishana kwa majibu ya ultrasound ni nini? Mwanzo yalionyesha EDD n tar 22/10/2015 mimba ikiwa na miez mi4. Na sasa inaonyesha tar 22/11/2015. Msaada tafadhari. Asante kwa muda wenu mtakaotumia.
  6. C

    JamiiForums Tanzania PSRS: Tangazo la kuitwa kazini Machi 2015

    lipo mkuu cheki vizuri Tafadhali.
  7. C

    JamiiForums Tanzania PSRS: Tangazo la kuitwa kazini Machi 2015

    Asante Mungu kwa yote!!!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa usaili Sekretariet ya Ajira

    hahaha! ila cku hiz u2mishi hawatoi maswali mengi sana. wanatoa maswali ma4 mda ni Dk 40. yanahusu professional yako.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Interview SIDO Business development officer

    wameweka kny webu yao mkuu.wametoa majina hawajapga cm
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kama kijana hujaaajiriwa pita hapa

    0752747069 ni-add please!!!
  11. C

    JamiiForums Tanzania God vs satan

    Iam for God
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ass. tax na Custom Officer ipi nichague?

    nashukuru ndugu. asante pia kwa kunisahihisha. ni writing error.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ass. tax na Custom Officer ipi nichague?

    wadau habar, kaati ya post ya ass. tax na customer officer ip ni nzur?maana nimeambiwa nichague 1 kny interview ya written. asanten na mbarikiwe.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    jaman nmepga Leo cm kwa huyo agent wao wa njombe.naongea kiingereza mwenzangu hanielew. nkasikia anwambia mwenzie `help me please' nkaulizia details hizo za kazi. nkaambiwa zko nafas Tatu tu. nkamwulza mbona mmeandka kuna nafas 2000 na kuna kada nyng tu ikiwemo ya uhasb na tunaanza kutuma...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Andika namba mbili za mwisho za simu yako

    ....98
Back
Top Bottom