Recent content by Crucial Man

  1. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

    Ndugu lets think beyond our noses,majirani zetu kenya mtoto anatoka darasani na kukimbia nyumbani kunyonyesha ,na wanatuzidi uchumi elimu kasoro madini tu,mbona wako sawa tu sisi,tunafeli wapi?
  2. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

    MsemajiUkweli, Acha upotoshaji kijana,awamu zote walikuwa wakirudi shule hawa mabinti,mbona kulikuwa hamna tatizo? kwani serikali inapata hasara gani kuwasomesha hawa mabinti,mbona awamu zilizopita walikuwa wanasoma na kufunya vizuri tu kwenye elimu? nina mfano mzuri tu,mtoto wa jirani...
  3. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

    Rule of the jungle only the strong survives ,ifn you cant beat them join them
  4. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

    mimi nilikutana na kabinti kumbe bado bikra ,kila nikikashika shika kanajamba tuu, siku kalipo kubali tukapeane papuchi aisee kalijamba nunstop hadi nikakaacha bila kukagengenda. kuazia siku hiyo sitaki tena vibinti mie
  5. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Amebadilika baada ya kumpa penzi

    kuna mawili,game lako sio alilotarajia au alikuwa anataka apige show tu na wewe then asepe ana mtu wake. ushaona wapi Rais ana fanaya kampeni baada ya uchaguzi?
  6. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hii imekaaje ya kiongozi wa CCM kutaka kuwa juu ya watumishi, Daktari afukuzwa na kiongozi wa CCM

    ingekuwa ni mimi ningemuambia huyu mwenezi wa ccm kwamba hapo ni hospitali sio ofisi ya chama wala jukwa la porojo. Ningemuambia sikiliza mwenezi,achene kuingiza siasa kwenye profession za watu,kafanyie siasa sehemu nyingine lakini sio hospital aiseee,(kwa lafudhi ya kichaga) .nilikuwan hapo...
  7. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    mbona kama kale ka gonjwa jamani?
  8. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Je, kuna taratibu zozote za kufuata ili kumuoa afisa wa Jeshi?

    No masharti hata kidogo
  9. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Je, kuna taratibu zozote za kufuata ili kumuoa afisa wa Jeshi?

    wapo wengi sana,juzi tu mdogo wangu kavuta mjeda mwenye nyota mbili,tena waliaanza kuzaa baadae juz ndio kafunga nae ndoa
  10. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua machache juu ya ajali ya Dr. Mwigulu Nchemba

    acha uongo ,that's engine coolant mkuu ,wadanganye wanao..huyo ponda baada ya kugongwa na gari kuumia kiasi ile alikimbia au alifariki? hapa tuelezane ukweli hii gari iliivaa lori kwa nyuma ,gari iliyogonga punda haiwezi kubonyega hivi,hii gari iligongana na kitu chenye uzito Zaidi ya punda...
  11. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Hili laWaziri Lugola ni kashfa mpya kwa Serikali

    mbona police hao hao walishawai sema kwamba cctv footage wanazo ?
  12. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    punguza jazba wewe kunguru mwitu,unaandika as if huyo unaemtetea ni mungu ! binadamu kweli hatuna kabisa busara,yaani mtu anapandwa na mori kisa demigod kaambiwa ameropoka,..kama hata mungu muumba huwa analiliwa na binadamu,sometimes na kumlaumu sembuse binadamu kisa Rais. mara ngapi umemlaumu...
  13. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hatujasikia chochote alichokisema Dr Mollel kuhusu CHADEMA kupanga kumuua Lissu, hivyo hatuna sababu ya kumuhoji

    Hahahahaha single channel vocal ,hawa jamaa nawashangaa sana ,yaani mtu kasema na clip zipo mtandaoni,kwenye hazard za bunge kuna sauti ,sasa wao wanataka ushahidi upi tena jamani. hili jeshi mbona limekuwa un professional kwenye majibu yao?
  14. Crucial Man

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana leo. Hivi ni mimi ndo sijui kiingereza au vipi?

    National four class
Back
Top Bottom