Recent content by Croson

  1. Croson

    Je, mwanafunzi huyu anaeza kuchaguliwa second selection

    Mimi nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019 na matokeo yangu yakatoka mwaka huu 2020 ufaulu ulkua n civ - C Hist - D Geo - C Kisw - C Eng - C Chem - C Bio - C Phy - D Math - D jumla nkawa na division 3 ya point 22 na jinsia n male. Lakin baada ya post za first selection kutoka wakanpangia...
  2. Croson

    Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

    Hahahahaha iyo umetisha
  3. Croson

    Je, Mwanafunzi huyu anaweza kubadilisha jina lake kama limekosewa?

    Je nikibadilisha jina itakuaje kuhusu taarifa za shule. .??
  4. Croson

    Je, Mwanafunzi huyu anaweza kubadilisha jina lake kama limekosewa?

    Sasa inakuaje kuhusu taarifa za shule uko nnapo endelea
  5. Croson

    Je, Mwanafunzi huyu anaweza kubadilisha jina lake kama limekosewa?

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne 2019 na matokeo yangu yametoka mwaka huu 2020 na yanaruhusu mimi kuendelea mbele na jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limekosewa na ninahitaji kubadilisha. Je, inawezekana kubadilisha?
  6. Croson

    Je, mtu huyu anasifa za kwenda Kusoma Comb ya PCB kidato cha tano Government?

    Je, Mtu mwenye ufaulu huu Civ - C , Geo - C , Kisw - C , Eng - C , Chem - C , Bio - C , Phy - D , Math D , Hist - D anae 3 . 22 anaeza kwenda advance Government comb ya PCB 2020?
  7. Croson

    Je, huyu Mtu anaweza kwenda HGE kwa ufaulu huu?

    Ety mtu kama amepata Civ - C Geo - C Eng - C Kisw - C Chem - C Bio - C Phy - D Math - D na Hist - D :- 3.22 na n wa kiume anaeza kwenda Advance comb PCB 2020
Back
Top Bottom