Huyo nape laana ya mama yake inamsumbua na ndomana mpaka Leo jogoo haliwiki... Hatuwezi tukamsikiliza MTU ambae ni mwanaume hlf sio rijali.. Kinachofanyika Dodoma ni hisia na imani za watanzania kwa Edward Lowassa.. Hongera sana Lowassa
Habari za asubuh wapambanaji wa mzee Lowassa...ni mara chache na nimara ya kwanza kwa dunia yenye utandawaz,technologia za kimataifa,nchi yenye watu wasomi kwa kiwango cha juu kabisa watu mamia,maelfu elfu kwa makundi mbali mbali..watu wenye vyeo mbali mbali,umri tofauti tofauti kutoka kila...
Yariko pole kwa kuzid kuchanganyikiwa kila kukicha na hii inatokana na ile laana ya kutoka kumbaka mama.. Ila tambua hakuna wa kumzuia Lowassa kuwa rais wa nchi hii
Kuhusu Richmond ukweli wote umeshawekwa hadharani na hata mbowe alikiri mwenyewe kuwa taifa hili lilipotoshwa kuhusiana na Richmond.. Sasa unamtaka yeye aongee mini but kumbuka pia ukimya ni hekima kutoka kwa Mungu.. Lowassa ndiye raisi wa Tanzania 2015-2025
Samahani naomba nikukumbushe kidogo, mgombea wa urais kupitia ccm huwa anapitishwa na mkutano mkuu wa ccm na sio kamati kuu, kamati kuu kazi yake ni kupitisha majina matano ya wagombea then inayapeleka kwa NEC then NEC inateua majina matatu na kuyapeleka kwa mkutano mkuu then mkutano mkuu...
Me nyerere nimeshekwambia kwamba, kitendo ulichokifanya cha kumbaka mama yako ndichi kilichoharibu mtindio wako wa ubongo na laana ya mama yako itakushambulia wewe na kizazi chako chote.. Bahati mbaya sana umechelewa sana kuuandika huu uharo wako kwani sisi watanzania tayari tumeshaujua ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.