Recent content by CRITO

  1. C

    JamiiForums Tanzania Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

    KWELI.mimi niliweka na picha wameifunga eti nabreach jf rules.sijui kosa langu nini
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waislam Dar wakutana Kidongo Chekundu, kulaani filamu ya kumkashifu MTUME

    picha zaidi www.mjengwablog.com
  3. C

    JamiiForums Tanzania ITV na maadhimisho wiki ya nenda kwa usalama barabarani.

    acha ujinga mkuu.hujui mmiliki wa tanzania daima mpakaumseme mbowe? mbona afadhali hata ya huyo unayemsema bana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kamati tendaji BAVICHA kuunguruma mjini Morogoro

    USHUUZIIIIIIIIIIIIIII.sasa hata mkiamua kujitetea kabla ya tsunami kuweni smart basi.ningependa hako kamalaya kashughulikiwe.stop
  5. C

    JamiiForums Tanzania MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

    jf sasa ni sawa na magazet ya shigongo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, tazama vijana wa chama na upuuzi wao

    Kwa hiyo Nyakarungu wewe ulitaka zitto aliposema atagombea urais publicly ulitaka aachwe tu aharibu chama atakavyo,au shibuda aendeleze upuuzi wake tuuuu,bali vijana wakae kimya eeeh? Sasa kuwa wazi kuwa unamsema mwenyekiti wa bavicha kwa kuwa ndiye alitoa tamko kukemea shibuda na kwa hiyo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

    JAMIIFORUMS ACHENI UNAFIKI KUDhani kuwa ninyi ni kila kitu.yapo matukio ambayo jf inakuwa haiyaweki ila ninyikwa kuwa mmeshalewa mnadhani kila habari lazima ianzie jf.juzi press comference ya chadema ililetwa hapa tokea blog ya mjengwa yule mnayemuita ninyi kibaraka wa ccm.wakati mwingine mnatia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, tazama vijana wa chama na upuuzi wao

    Nimewahi kukutana na nyakarungu na kufanya naye maongezi ni smart. Lakini linapokuja swala la chama kwa maana ya CHADEMA, Nyakarungu hayuko smart. Bila kurejea kwenye makosa yake binafsi yanayofanana na hicho alichokiita upuuzi, post yake hii yenyewe haina maslahi kwa chama. Ukiitazama, inatoa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania MICHUZI Agomea WAANDISHI; ASUSIA MAANDAMANO YAO

    Sasa vipi kuhusu blog ya Mjengwa,yule jamaa wa kujipendekeza,yeye karipoti namna gani mbona hamsemi jamani?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo...

    jaribu kuelewa walau vitu vya kawaida kipimo cha imani ni matendo,na kuchangia mwenye uhitaji ni moja wapo ya tendo jema
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mjengwablog Inachangisha Pole Ya Kumsaidia Mjane Wa Daud Mwangosi Kuendesha Bishara Ndogo...

    Hapo ndipo utaona maana na hekima ya biblia.inasemwa imani bila matendo imekufa.watu wote waliosmart kumtukana maggid humu kuwa mnafiki wangejitokeza kuchangia ungeona hela zikiwa nyingi.sasa nyie msio wanafiki mbona hatuoni mkichangia?au mnasubiri mchango uitishwe na mtu asiye mnafiki? acheni...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona na Kukisikia Kijijini Nyololo, Siku 4 Baada ya Mauaji ya Mwandishi Daud Mwangosi...

    Jamiiforums wao wamechangia nini? hata post ya mchango wanaifrusrate
  13. C

    JamiiForums Tanzania CUF Ina mgogoro na Vyombo vya Habari?

    Juzi Chama Cha CUF Kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Jangwani. Nilikuwepo binafsi nikichukua picha na kusikiliza hotuba mbalimbali. Pamoja na mambo mengine, CUF Inaonekana kutokuwasema vizuri wana habari na nilisikia mwenyewe kutoka hotuba za viongozi, isipokuwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 2 Jiji la Mwanza

    Owawa,pole sana kwa kuguswa na jambo hili,na nadhani wote tumeguswa.sikumfahamu chagulani ila nilikutana naye wakati wa uchaguzi wa bavicha huu uliompa heche uenyekiti.mimi ni mwanafalsafa,nilisikiliza tu hoja zake,yeye,mtu anaitwa Ben,na mwakagila.baada ya kuchambua upeo wao haraka japo sikujua...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha Idi Amin Na Mwandishi Wa Kitanzania!

    Kwa hiyo kwa kuwa watu wengi waliipigia kura ccm (kusema eti waliiba siyo logical hapa) ina maana ilani ya ccm ilikuwa bora kulikoya chadema? wakati fulani wengi wanaweza kuwa upande usio sahihi,hiyo ina maana uwingi huo unaweza kubadili jambo baya likawa jema au uongo ukawa ukweli? ni hivi...
Back
Top Bottom