Recent content by CRISTA

  1. CRISTA

    inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

    Rubbish!! Kwa hiyo wewe hata kiongozi akimfi....mke wako ni POA kwa sababu ni mamlaka imetoka kwa mungu Hongera sana Bosi,,
  2. CRISTA

    Je, ni maamuzi gani unaweza kuchukua baada ya kutofautiana kidogo na mwenza wako, kisha kwa hasira akakuambia kuwa huoni umuhimu wake

    80% ya Jambo analo ropoka mwanamke akiwa na Hasira hamaanishi. Tena kama unabisha mkishapatana mkumbushe alichoongea amesahau. Offcourse pole wanauzi sana 😌😌
  3. CRISTA

    Najishangaa sana

    Duh
  4. CRISTA

    Najishangaa sana

    Wakuu, sometimes nahisi najikosea Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha. Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia Nyumba yangu,mfano juzi kati nilibamba mil 3.5 ,chap nikaweka tiles kwenye Nyumba yangu,wakati...
  5. CRISTA

    Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  6. CRISTA

    Nizingatie nini na kwenda kuonana na ndugu wa binti wa kimeru

    Kwanza nikupe Hongera kwa Nia kutaka kuoa,inaonyesha ni kw a Jinsi gani unahitaji kujenga familia na mwezi wako Turudi kwenye Mada,unapoingia mw 1.Hongera kwa kupevuka Hadi kufikia kuoa 2.Kwa kuwa umekubali kupevuka zingatia msimamo wako bila kuyumbishwa na watu tofauti tofauti vinginevyo...
  7. CRISTA

    Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

    Eti Nina anamtega kimapenzi Ntando mtoto wa Lincorn,ili kulipiza kisasi kwa Lincon ambaye amemtema na kwenda kwa Lungi Lungi nae anamzingua Mzee Lincon kwa sababu ya umbea toka kwa Seshaba kuwa Lincon alimuua Mke wake. Hedrick nae stress tupu na familia yake,wife amekaza kumsamehe kwa kosa la...
  8. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Ukweli mama yangu ni muongeaji cna na ni mtu wa fact yaani yeye hapindishi ukweli ni ukweli na sisi tumelelewa hivyo nakumbuka kipindi cha uchumba kuna kipindi Wife alipitiwa kidogo mama alimuita na kumkanya waziwazi basi toka kipindi hicho mke hamkubali kabsa nilishawahi kumwambia toka cjamuoa...
  9. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Asante, sana kwa ushauri Nitajitahidi
  10. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Asante cna, sehemu anapkaa Mama Yangu unapanda dala dala kufka Huko na mimi Ndio Niko karibu na Mama yangu Ndugu zangu wengine wapo nje Ya mkoa huu. Hivyo mara nyingi mimi Ndio Nategemewa kwenda kumsabahi mara moja moja ukizingatia ni mjane
  11. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    kwa hiyo ndo maisha hayo, maana kipindi cha nyuma kuna Mzee mmoja aliwahi kuniambia hao kuna kitu wanagombania sasa cjui Nini mpaka leo Cjajua
  12. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Habarini !! Tayari nilifanikiwa kupata mke miaka miwili sasa na mtoto juu, ila Mke na Mama yangu hawaelewani kila cku maneno mke hamsikilizi mama kwa chochote ukifka kwa mama naye malalamiko, nilishawahi kumkanya Kidogo mke kuwa mvumilivu na Mama yangu lakini imeonekana kuwa ngumu, ingawa...
  13. CRISTA

    Mwanamke na kinyongo

    Habarini! Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti mama yangu anamchukia cna hampendi ni kweli kipindi cha miaka miwili ya Nyumba mama alitaka kumkataa...
  14. CRISTA

    Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

    Pole ndugu. Maana..... Anyway jaribu
Back
Top Bottom