Recent content by Crigler Najjar

  1. Crigler Najjar

    Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Unahamasisha shuhuli zangu za biashara ninazofanya kigogo niache nibaki buza
  2. Crigler Najjar

    Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Ni kweli ila kwa kipindi hiki ambacho nipo kwenye umaskini Gharama za maisha zipungue mpaka nikiwa tajiri ndo zipande
  3. Crigler Najjar

    Wakati wa Temeke hulazimika kupanda magari mawili ili kufika Mabibo Kigogo ama Manzese

    Wanaohusika na kuanzisha root za daladala watufikirie , maana nauli imepanda na tunalazimika kulipa nauli mbili kwa safari fupi kabisa.
  4. Crigler Najjar

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Katika maelezo yao kwenye video YouTube wamesema hakuna ulazima
  5. Crigler Najjar

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Hakikisha Jina umeandika kama lilivo kwenye cheti cha taaluma, kwa kuweka initial letter kwa jina la kati Na ilivyo kwenye Tarehe ya kuzaliwa ni mwezi/tarehe /mwaka
  6. Crigler Najjar

    Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    hebu cheki vizur mbona kama tareh sun 19 jun 2016
  7. Crigler Najjar

    Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    kwani kuna madaktar wa certificate, na mshahara wao vipi?
  8. Crigler Najjar

    Msaada kozi ya afya

    wanajamvi eti ukimaliza kusoma certificate unaenda kufanya kazi, ama ni lazima uunganishe diploma ndio ukafanye kazi ?
Back
Top Bottom