Recent content by crazyworld

  1. C

    Lameck Airo: Nguvu ya soda ya Rais Magufuli ni ya muda mfupi

    Mfadhili wa chama huyo kaongea. Asubiri kwanza atummbuliwe asiwe na haraka
  2. C

    Nape amvaa Dr. Slaa

    Katika masharti aliyopewa ni pamoja na kupambana na rushwa, kuwafikisha mahakamani mafisadi wote, kuwafilisi mafisadi na kurejesha mali za umma walizopora, ......Mengine nimesahau kidogo mnaweza muongezea mnaokumbuka ili tumsaidie Nape
  3. C

    TRA na malipo ya Fire extinguisher.

    Wakuu mngemwelimisha sio kumkashifu. Hiyo pesa uliyolipa tulikuwa tunailpa kule fire baada ya kupeleka fire extinguisher yako kukaguliwa (annually). Sasa wameichanganya na road licence. Mimi sina shida ila mbona tunalipa na haikaguliwi kwanza?
  4. C

    Dr. Christine Ishengoma aishauri Tanzania kutumia maji ya mto Nile

    Ana maana ya kuwa Misri yana fika 13% tu! Kweli hawa maDr wetu wa chama chetu ni balaa kwenye kuchanganua mambo! Labda alitaka tu watu wajue keshafika Sudan si unajua tena wenzetu wa kabila letu kwa kupenda maujiko?
  5. C

    Dr. Christine Ishengoma aishauri Tanzania kutumia maji ya mto Nile

    Ana maana ya kuwa Misri yana fika 13% tu! Kweli hawa maDr wetu wa chama chetu ni balaa kwenye kuchanganua mambo!
  6. C

    JKT na migomo vyuoni

    Mwambieni Chenge kwanza arudi kujifunza Uzalendo akishabadilika ndio wengine tufuate
  7. C

    JKT na migomo vyuoni

    Mwambieni Chenge kwanza arudi kujifunza Uzalendo akishabadilika ndio wengine tufuate
  8. C

    Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

    Mkuu wenye pesa au mamlaka huwa hawaongei mara kwa mara. Kama unabisha niambie mara ya mwisho kumsikia Bilgate (wa Microsoft) au hata Bakhresa (wa Azam) anaongea. Huwa wanaongea kwa matendo tu.
  9. C

    Agustino Mrema atimuliwa TLP

    Kweli nakubali ccm mnajua siasa ndio maana unakuta kwenye familia baba ni Raisi, mtoto na mjumbe wa nec na mbunge wa jimbo alilokuwa baba mbunge na mama mjumbe wa nec. Demokrasia hoyee kwenye chama tawala!!!
  10. C

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    Mkuu ukitaka kujua cdm kuna viongozi wazuri kuliko ccm tafuta mkanda wa mjadala wa escrow siku ile walipokaribia kukesha bungeni. Utajionea mwenyewe siku ile waziri mkuu wa cdm, waziri wa sheria wa cdm, waziri wa fedha wa cdm kwa kuwataja wachache walivyojenga hoja mpaka ccm wakasalimu amri na...
  11. C

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Hapo kwenye uroho wa madaraka ndio panaponiacha hoi kwenye hoja za ccm. Wanaona wenzao wakiongea ukweli ni waroho wa madaraka. Hivi anayeng'ang'ania madaraka ambayo ameshindwa kuwtimizia wanachotaka watawaliwa na ambaye anataka utawala uwajibike ni nani mroho wa madaraka.
  12. C

    Hawa jamaa wangekuwa wanaona mbali

    Mkuu umenena. Hata kule Nigeria kuna kiongozi alimfunga mwenzake. Alipokuta hali ilivyokuwa akamwambia rais aboreshe magereza kwa kuwa anaweza akawa next victim hakusikia. Alipotoka madarakani tu akafungwa na akafa kutokana na hali ya gerezani Kama wamesoma hapa waboreshe mapema kwani dalili sio...
  13. C

    Nini kitatokea endapo UKAWA hawatashinda Oktoba 2015?

    Kwani ubunge wao unatokana na UKAWA kuwa na raisi madarakani? Hao uliowataja isipokuwa Dr Slaa wataendelea kuwa Wabunge whether UKAWA watashinda uraisi au la.
  14. C

    January Makamba, Hivi watumiaji wa simu tuko salama? Tuko na faragha?

    Haya ni maajabu ya Musa!!! Mtu analalamikia faragha kisha anaaninika statement ya mtu hadharani tena mtandaoni!!
  15. C

    Rais Kikwete: Nilikuta serikali inaingiza mapato bilioni 170, Sasa naingiza bilioni 900 kwa Mwezi

    Mwanza mkate mkubwa ulikuwa unauzwa Tshs 550 alipoingia na sasa ni Tshs 3,000 ni mara 5.5 zaidi
Back
Top Bottom