Recent content by Cracker_tz

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi kuhusu ujenzi niliyoyaona Dodoma

    kaka greater than . Msaada wa mawasiliano yako. Nna Kiwanja changu naona kinahitaji huduma yako
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya mwisho wa juma na huduma za kifedha

    Hivi wadau huwa kuna uhusiano gani kati ya wikiend na huduma za kifedha. Nakumbuka tarehe 5 mwezi wa nne nilifanya muamala kutoka equity bank kwenda crdb. Muamala ukafail kwasababu mtandao wa equity. Baada ya dk kama 6 nikapokea meseji umefanikisha kuhamisha kiasi cha sh 4M kwenda crdb. Ila...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vipele kwa mtoto wa miezi 8

    Habari zenu ndugu zangu. Mtoto wangu ana changamoto ya vipele hivi. Alipelekwa hospital wakatupa dawa ya kupaka lakini haijatoa matokeo mazuri. Msaada wenu napokea ushauri
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la IPhone 7 kutokusoma line

    Network Ic inashida. Nenda kwa fundi mwene uzoefu chap tu anaibadili. Japo ni gharama kiac
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu

    Habarini ndugu zangu. nnaombeni msaada wenu kwa mtu anayejua Ofisi za GSM hapa dar au mfanyakaz wowote wa GSM. kuna dili nafatilia atakaeweza kutoa ushirikiano nipo tayar kumpatia zawadi nono. namba yangu ni 0765964271
  6. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania wameongeza gharama za vifurushi vya chuo

    Ndugu zangu wanachuo leo vodacom wamepandisha gharama za vifurushi kwa wanachuo, hapo nyuma 1. sh 500 ilikua ni mb 500 Dk 50(voda to voda) na sms 500 ila leo hicho kifurushi ni 1000, hakuna kifurushi cha bei rahisi tena. ni kuanzia 1000. cha 1500 now ni 2000, cha 2500 now ni 3000. kwa tunaosoma...
Back
Top Bottom