sisi ni ndugu
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 121
- 138
Habari wakuu,
Nina iphone 7 inasumbua kusoma line..inaweza soma kwa sekunde 40 then ikarud kwenye No Service.
Shida itakua nini?