Recent content by CR7jr

  1. CR7jr

    Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

    Kiukweli kwa ukimya alokaa nao mda wote tulitarajia aachie bonge la hit ila badala yake katoa boko..!
  2. CR7jr

    Mwanzo wa meditation

    asante mkuu, ila ni kidole gan kinachotumika kugonga wakat wa kutoka?
  3. CR7jr

    Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    kuna mwingine alikuwa anaitwa justin nyari, sijui mmeshamsikia?
  4. CR7jr

    Fumanizi la Mchungaji ...adai alikuwa anamfanyia mke wa mtu maombi

    Kama kanisa lenyewe linaitwa pants down, hakuna cha ajabu hapo maana kila kitu kinajieleza...
  5. CR7jr

    Inakuwaje mwanamke anabakwa na mwanaume mmoja?

    Hahahahaa...mekuelewa sis!!
  6. CR7jr

    Ukimfanyia haya mkeo ndoa yako itakua na furaha siku zote.

    dah, kweli mkuu umetisha, yan umeiperemba Bible yoote kisa mapenzi...duuuh., shkamoo papuchi!!
  7. CR7jr

    The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    Ok, umeshajua unachohitaji na there's no way you can get it, utaendelea ku praise utahira unaofanyika upstairs??
  8. CR7jr

    The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    "ONLY KNOW YOU LOVE HER WHEN YOU LET HER GO, ONLY KNOW YOU'VE BEEN HIGH WHEN YOU'RE FEELING LOW" Angalau sasa tunaona tulikuwa tunamkosoa JK but all he was doing was only getting things done!! alijua bandari inapitisha vitu kwa magendo, alijua kuna wafanyakaz hewa na vinginevyo vingi but why...
  9. CR7jr

    Maalim Seif ni kiongozi wa viongozi barani Africa

    Huyo nae wale wale tu, bado cjaona kiongoz mkubwa ambae watanzania wanaweza kuwa proud of...just imagine ameporwa nafasi aliyostahili mara mbili na zote kapiga kimya halaf unamsifia, unamsif kwa lip???
Back
Top Bottom