Recent content by cpt

  1. cpt

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na abiria anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?

    Dah! Hii ilinikuta juzi aisee... Nimepanda basi natoka Tabora nipo na Tablet naperuz zangu Twitter huko. Kumbe jamaa anashuka na post zangu moja baada ya nyingine uzalendo ukamshinda kwenye post ya kikosi cha Simba akaniambia emh rudisha hapo sijamaliza[emoji28]
  2. cpt

    JamiiForums Tanzania Jinsi Putin alivyoifanya Urusi kuwa kubwa tena

    Hii makala nimeisoma twitter kwa kiingereza, naona umeamua kutafsiri
  3. cpt

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Haya maswali magumu sana sidhani kama atakujibu. Sidhani kama bila hicho chama walichoasisi babu zake Tanganyika isingepata uhuru.
  4. cpt

    JamiiForums Tanzania Kwenu walimu, msifanye haya Ili yasiwakute ya Mwalimu Jimmy

    Halafu wakifanikiwa wanapost kivideo wanatuuliza " Mwalimu wa math ulisema sifiki mbali hapa ni wapi? "
  5. cpt

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Wanasema hii ni mara ya pili dogo kutokomea hapo shule, je, mara ya kwanza pia alibakwa? Je, akibakwa ndio atoroke shule!? Mbona hiyo clip hajaongelea ilikuaje akafika kwa muuza mkaa?
  6. cpt

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Sio Dr Slaa tu, wengi hao wa upinzani wanahongwa ndio maana hawatakaa wafanikiwe.
  7. cpt

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Ni kweli mkataba una mapungufu ila nahisi mama ana hisa kwa braza Karamagi. Ni kama anapiga pasi hivi TICS ipewe bandari nyingine za Tanzania ikaoperate.
  8. cpt

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa 5% kwenye magari yenye uwezo wa injini kati ya 1,000CC-2,000CC

    Ushuru na kodi ni kitu kimoja? Maana habari inaongelea ushuru wewe unauliza kodi. Pia habari inasema wataanza kutoza ushuru, nadhani hawamaanishi kupunguza au kuongeza ila wanaanza(kitu kipya). Nimejibu kutokana na utangulizi wa swali lako, sina taaluma ya kodi.
  9. cpt

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar amesema Mambo ya Bandari Tanzania Bara na Zanzibar kila upande Unajitegemea, hayaingiliani!

    Hela zikipatikana kwenye bandari ndio zinakua za muungano sio!
  10. cpt

    JamiiForums Tanzania Yanga ataishangaza dunia

    Kwa hiyo walifanya. [emoji55]
  11. cpt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    Kumbe ndio yaliyojiri hayo..... Bila shaka kitengo wanamkono wao hapa maana hadi foma prezida kaenda kutupa udongo.
  12. cpt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio ya kwenye sherehr ya 'send off' ya mwanadarasa mwenzangu

    Mpwa amka usije ukaumwaga!
  13. cpt

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    Mnaosema tungewekeza kwenye gas wala sipingani nanyi, ila kwa sasa busara ni kuanza na huo umeme wa maji. Hilo bwawa ukiacha kutuzalishia umeme pia litasaidia kuokoa lita nyingi za maji yanayomwagika tu baharini na kuyatumia katika shughuli nyingine za kiuchumi kama kilimo na ufugaji wa samaki...
  14. cpt

    JamiiForums Tanzania Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    Black Europeans vz Arab Africans. Ashinde yeyote tu, kama hatutakua na mahusiano ya kigenetic basi tuna mahusiano ya kijografia.[emoji23]
  15. cpt

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tuanze kuweka akiba ya vyakula ndani

    Kama hiyo ni spiritual, basi ngoja tuanze kutunza chakula Mkuu.[emoji28]
Back
Top Bottom