Recent content by CPD BOY

  1. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Hivi vitendo vya matusi waachieni WAHUNI sio nyie watu wenye heshima kubwa Duniani, mkiendelea hivi mtajipunguzia heshima na hata serikali kuwaona ni watu wasio stahili heshima na hata kutowajali katika mazingira yenu ya kazi na kuanza kulalamika mmetelekezwa na serikali kumbe heshima yenu mme...
  2. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Hyo Taarifa ya matokeo ya kidato cha pili ilikua sio taarifa mbaya sana japo mnasubr uhamisho, sikufanya ivo kwa nia mbaya nilijua wengi wenu ni waalimu hivo inge saidia pia, Lakini mtu anatoa maneno kama hayo , Kama baadhi ya walimu mnakosa HEKIMA kiasi hicho na ndio mnawafundisha wadogo...
  3. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    PUNGUZENI JAZBA, HAPA MTAPEANA MOYO TU, ILA SIKU YAKITOKA MTAJUA, KUTOA MATUSI NA WENGI WENU NI WAALIMU HII INAWAFANYA WATU WAZIDI KUAMINI MSEMO WA KWAMBA KIMBILIO LA WALIO FELI NI UALIMU NA UPOLICE,, WAKATI KUNA WATU WALIO NA UFAULU MZURI NA WASTAARABU WAPO KATIKA SECTOR HIZO, UALIMU NI...
  4. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Matokeo ya kidato cha pili 2015 yametoka
  5. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Nia ya dhati ya kufanya nn mkuu
  6. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    MBONA KAMA KIMYA KIME TAWALA SANA MSIJALI MTAHAMISHWA TU, MKIKOSA MAISHA POPOTE,
  7. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Wote mnaohitaji uhamisho wengi ni watumishi wa serikali ya nn kugombana na kutoleana maneno yasiyo faa. Heshima ya serikali inajengwa na watumishi wake.
  8. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Inaonyesha watu wana penda sana kuhama lkn jiandaeni psychologically kwa jibu lolote ili kuepusha kuumia sana pindi jibu likiwa sio ulilo tarajia
  9. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Kama ulifuata taratibu zote za uhamisho na kuambatanisha vitu vyote vinavyo hitajika, uhamisho ni 99.99%
  10. CPD BOY

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Kama ulifata taratibu zote za uhamisho na kuambatanisha kila kitu kinacho hitajika Uhakika wa kuhama ni 99.99%
  11. CPD BOY

    Uhamisho wa vibali maalumu June 2015

    Uhamisho Wa january 2016 lini
Back
Top Bottom