Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Huu sasa udaku, fedha za nini wakati uhamisho wa kuombwa huwa haupewi hela?Hakuna fedha za uhamisho!!!!
Huu sasa udaku, fedha za nini wakati uhamisho wa kuombwa huwa haupewi hela?Hakuna fedha za uhamisho!!!!
Tafadhali tuwe na subira wahusika wanashugulkia mara taratbu ztakapo kamilika taarfa ztatolewa.Kwa wale walioomba uhamisho wa January 2016 kupitia tamisemi,ni lini majina hayo yatatolewa?kwa maana January ndo hii,samahan kwa anayejua naomba atujuze🙂
Hahahaha nimeipenda hiyomie kujipunguzia presha ya kusubiria,nimeamua kujiwekea deadline ya mpaka 22-01-2016!nakumbuka mwaka 2015 yalitoka tarehe 21-01-2015!kwahyo na mie naweka ya mpaka tarehe 22,iwapo watayatoa kabla ya hapo basi itakuwa vyema na bora!
ahahaha,pamoja mkuu,mie nahamia meatu kutoka bukoba vijijini,ww je unatokea wapi na unaenda wapi?Hahahaha nimeipenda hiyo
Kweli?Kwa wale walioomba uhamisho wa January 2016 kupitia tamisemi,ni lini majina hayo yatatolewa?kwa maana January ndo hii,samahan kwa anayejua naomba atujuze🙂
Mm nimeuza nimebakza kitanda tv subwofer tu na vyombo nimesema siuzi mpaka nipate uhakikaPresha inapanda presha inashuka hasa kama uliuza vitu vyote kisha ukaenda likizo ikijua ukirud n uhamisho tu sasa tunafikia kununua vitu hahahaaaaa
Whaaat kweli asaaa mungu wanguTetesi jaman Leo kuna possibility ya majina ya uhamisho kutoka,kaa mkao wa kupanga mazagazaga sasa
Ahahaha,usiuze mkuu!subiri kwanzaMm nimeuza nimebakza kitanda tv subwofer tu na vyombo nimesema siuzi mpaka nipate uhakika
Msiwe na haraka NduguAhahaha,usiuze mkuu!subiri kwanza
ahahaha,ata mieKila mda naingia net kuchungulia naona bado hahahaaaa kaz kwel roho juu tu mungu tusaidie wote tutoke