unasema sisi tuliosoma shule za kata tukae pembeni wakati mnapojadili mambo ya kitaalam!sasa wakati mnakusanya kodi mbona huwa hamtuambii sisi tuliosoma shule za kata tukae pembeni ili ninyi wa st meriz,st john,feza,consolata,marian,mulipe kodi kwa raha zenyu?next time acha dharau dogo,mngekuwa...